Sep 15, 2021 04:27 UTC

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema kuwa, jukumu la kusimamia maadili na utamaduni wa Kizanzibari kwa wageni wanaotembelea visiwa hivyo linazihusu kampuni zinazoandaa misafara ya watalii wanaongia visiwani humo. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

Tags