Dec 29, 2021 12:13 UTC

Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.

Tags