Jan 10, 2022 17:12 UTC

Uganda inakubaliana na mikataba mingi ya kuchunga na kuheshimu haki za binadamu duniani, lakini katu haitawavumilia wanaovunja haki za wengine.

Hiyo ni sehemu ya onyo lililotolewa na jeshi la Uganda.

Kwa maelezo zaidi na tumtegee sikio, mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail