Rais wa Zanzibar awataka Waislamu kuendeleza yote waliyonufaika nayo ndani ya Ramadhani
May 03, 2022 15:39 UTC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, al Hajj Hussein Ali Hassan Mwinyi amewataka Waislamu kuendeleza yote mazuri waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Rais Mwinyi amesema hayo leo Jumanne, Mei 3, 2022 kwenye Baraza la Idi lililofanyika kisiwani Unguja.
Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hiyo hapo juu ya mwandishi wetu Harith Subeit kutoka Zanzibar.