Picha
-
Chanjo ya COVID-19 ya Iran ya Fakhra yaanza kufanyiwa majaribio + Video
Mar 16, 2021 08:12Awamu ya kwanza ya majaribio kwa mwanadamu ya chanjo ya COVID-19 ya Fakhra iliyotegenezwa Iran imeanza leo.
-
Jeshi la IRGC la Iran lazindua mji mpya wa makombora chini ya ardhi + Video
Mar 15, 2021 12:21Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran limezindua mji mpya wa makombora uliojengwa chini ya ardhi kwa kutegemea wataalamu Wairani na teknolojia ya ndani ya nchi.
-
Othman Masoud Othman Sharif aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar + SAUTI
Mar 02, 2021 18:47Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemwapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kufuatia uteuzi aliofanya tarehe mosi Machi mwaka huu
-
Zanzibar yatangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad +SAUTI
Feb 17, 2021 17:03Maalim Seif Sharif Hamad, mwanasiasa mkongwe na Makamu wa Kwanza wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 77.
-
Hatimaye Jumuiya ya Waislamu Burundi yapata kiongozi mpya + SAUTI
Feb 08, 2021 16:00Jumuia ya Waislamu nchini Burundi (COMIBU) hatimaye imepata kiongozi mpya baada ya kubakia wazi kwa muda wa miezi 5. Kiongozi huyo mpya Sheikh Hassan Nyamweru aliyeshinda uchaguzi kwa asilimia 84 ya kura dhidi ya mpinzani wake Sheikh Salum Nayabagabo aliyepata kura 32. Amida ISSA na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Mauaji dhidi yao yaongezeka, waandishi wa habari wataka ulinzi zaidi Uganda + SAUTI
Feb 08, 2021 15:53Kwa mara nyingine waandishi wa habari nchini Uganda wameiomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha ili kuzuia mauaji wanayofanyiwa mara kwa mara na ambayo sasa hivi yamekithiri. Mwandishi wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa zaidi:
-
Kikosi cha Majini cha IRGC chapokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kurusha makombora + Video
Feb 08, 2021 08:11Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) kimepokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kuvurumisha makombora.
-
Iran itatuma sataliti zaidi katika anga za mbali kwa kutumia kombora jipya
Feb 03, 2021 02:29Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa baada ya kutuma katika anga za mbali kombora la kisasa kabisa la kubeba satalaiti ambalo linajulikana kama Zuljanah. Amesema kombora la Zuljanah litaweza kutuma satalaiti zaidi katika anga za mbali.
-
Khatibzadeh: Hakutakuweko mazungumzo ya pande mbili baina ya Iran na Marekani
Feb 01, 2021 11:59Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitafanya mazungumzo na serikali ya Marekani.
-
Rwanda yaanza kugawa chakula kwa wananchi waliothirika na karantini ya Corona +SAUTI
Jan 25, 2021 18:17Wakati wakazi wa mji mkuu wa Rwanda Kigali wakiingia juma la pili la zuio la kutotoka nje katika hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, serikali ya nchi hiyo imeanza zoezi la mgawo wa vyakula kwa wananchi walioathiriwa kutokana na kupoteza vyanzo vyao vya mapato.