Jun 28, 2016 08:33 UTC
  • Ramadhani, mwezi wa Qur'ani

Wanajeshi wanamaji wa Iran, wanaadhimisha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha za jalsa ya kusoma Qur'ani iliyohudhuriwa na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeli Habibullah Sayyari.

Tags