Oct 02, 2016 10:52 UTC
  • Picha za baadhi ya ndege zilizotengenezwa na Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel

Hapa tumekuwekeeni baadhi ya picha zinazoonesha ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Wamarekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, baada ya ndege hizo kujipenyeza katika anga ya Iran na kutekwa nyara.

Tags