-
Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza
Aug 07, 2022 07:20Iran na Afrika Kusini zimelaani vikali jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Kustawisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za Kiafrika ni katika vipaumbele vya Iran
Aug 06, 2022 11:33Hamid Forozan Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Ushirikiano, Kazi na Ustawi wa Jamii ya Iran amesisitiza kuwa, uwezo wa nchi za Kiafrika umeandaa msingi mzuri wa kustawisha biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 12:32Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Rais, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuitembelea Afrika Kusini karibuni
Aug 03, 2022 02:32Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran amesema Rais Ebrahim Raisi wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hii, Hossein Amir-Abdollahian wanatazamiwa kufanya ziara ya kuitembelea Afrika Kusini karibuni.
-
Mabadilishano ya kibiashara baina ya Iran na Tanzania yameongezeka kwa 120%
Jul 02, 2022 11:49Balozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania amesema, mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili katika mwaka uliopita yaliongezeka kwa asilimia 120.
-
Kwa mara nyingine, Iran yalaani jaribio la UK la kuwahamishia wakimbizi nchini Rwanda
Jun 15, 2022 07:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani jaribio la Uingereza la kuwahamishia kwa lazima wakimbizi wa nchi hiyo huko Rwanda na kusema kuwa hiyo ni aibu ya kihistoria.
-
Abdollahian: Iran haina vizingiti katika kukuza ushirikiano wake na Nigeria
Jun 12, 2022 04:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina vizingiti vyovyote katika njia ya kustawisha uhusiano wake na Nigeria.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 07:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Iran yazidi kuimarisha biashara na nchi za Afrika
Jun 09, 2022 03:06Naibu mkuu wa Shirika la Kukuza Biashara la Iran (TPO) anayeshughulikia maendeleo ya masoko ya nje amesema shirika lake linatafuta njia za kutekeleza mifumo ya biashara ya kubadilishana bidhaa na washirika wa kibiashara wa bara la Afrika.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kuipatia Kenya misaada ya kibinadamu zikiwemo chanjo cha Covid-19
Jun 03, 2022 07:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuIpatia Kenya misaada ya kibinadamu katika uga wa tiba zikiwemo chanjo za Covid-19.