Sep 17, 2020 15:41 UTC

Hatua ya kisaliti ya tawala za Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel imeendelea kukabiliwa na malalamiko na upinzani mkubwa katika maeneo mbalimbali ya Ulimwengu wa Kiislamu

Wapenda haki kote ulimwenguni wameitaja hatua hiyo kuwa ni khiyana na usaliti kwa Ulimwengu wa Kiislamuu na malengo ya wananchi wa Palestina ya kupigania ukombozi wa ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu. Salum Bendera amezungumza na Bw. Muhammad Qassim wa Arusha Tanzania, ambaye ni msomi, mwanahistoria na mchambuzi wa masuala ya Asia Magharibi ambaye kwa kuanzia alikuwa na haya ya kusema.....

 

Maoni