Ripoti
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 01, 2022 10:08Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 29, 2022 03:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
Iran na Oman zatiliana saini hati 12 za kustawisha ushirikiano + Video
May 23, 2022 15:08Leo Jumatatu, Rais Ebrahim Raisi amefanya ziara rasmi ya siku moja nchini Oman na kupokewa kwa heshima zote na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo.
-
Rais wa Zanzibar awataka Waislamu kuendeleza yote waliyonufaika nayo ndani ya Ramadhani
May 03, 2022 15:39Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, al Hajj Hussein Ali Hassan Mwinyi amewataka Waislamu kuendeleza yote mazuri waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video
Mar 13, 2022 08:08Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.
-
Iran yazindua vituo viwili vya makombora na drone + Video
Mar 05, 2022 14:22Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh amesema Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameimarisha mara saba zaidi uwezo wa makombora na kuvurmisha makombora mengi kwa wakati moja na pia uwezo wa ndege za kivita zisizo na rubani au drone.
-
Wazayuni waripua kwa mabomu nyumba ya Mpalestina mjini Jenin + Video
Feb 14, 2022 10:55Mapema leo Jumatatu asubuhi, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wamevamia nyumba moja ya raia wa Kipalestina katika mji wa Jenin wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuua shahidi kijana mmoja wa Kipalestina na kujeruhi wengine 10. Wanajeshi hao makatili wameripua kwa mabomu pia nyumba ya raia mmoja wa Kipalestina.
-
Umoja wa Ulaya waiondolea vikwazo Burundi +SAUTI
Feb 09, 2022 15:07Hatimaye Umoja wa Ulaya umechukua uamuzi wa kuondowa vikwazo ulivyoiwekea Burundi tangu 2016.
-
Wamachinga waandamana Dar, mabomu yarindima, waruhusiwa kuweka alama maeneo yao + Video
Jan 17, 2022 15:10Wafanya biashara wa soko la mitumba la Mchikichini wilayani Ilala jijini Dar es Salaam Tanzania wameandamana na kufunga barabara kuishinikiza serikali iwaruhusu waendelee na biashara zao licha ya soko hilo kuunga usiku wa kuamkia jana Jumapili. Baada ya maandamano hayo, serikali imewaruhusu waweke alama kwenye maeneo yao wakati wakisubiri ripoti ya kamati ya kuchunguza chanzo cha moto ya jana.
-
Jeshi la Uganda laapa kupambana na wanaokiuka sheria kwa kisingizio cha haki za binadamu +SAUTI
Jan 10, 2022 17:12Uganda inakubaliana na mikataba mingi ya kuchunga na kuheshimu haki za binadamu duniani, lakini katu haitawavumilia wanaovunja haki za wengine.