-
Watu 18 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Pwani ya Kenya
Jul 09, 2022 07:31Watu 18 wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha gari dogo la abiria na lori katika kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya.
-
Ajali ya basi yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20 nchini Uganda
May 04, 2022 14:54Polisi wa Uganda wamesema watu 20 wameuawa baada ya basi la abiria kuanguka kwenye shamba la chai nje ya barabara kuu magharibi mwa Uganda.
-
Ajali ya gari la waandishi habari yaua watu wasiopungua 14 Simiyu, Tanzania
Jan 11, 2022 14:13Watu wasiopungua 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria aina ya Toyota Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
-
Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden
Dec 11, 2021 08:17Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.
-
50 wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya kijeshi Ufilipino
Jul 05, 2021 02:48Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha huku wengine wasiopungua 49 wakijeruhiwa, baada ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino kuanguka na kuteketea moto kusini mwa nchi.
-
Ajali ya treni yasababisha vifo vya makumi ya watu nchini Pakistan
Jun 07, 2021 11:36Takriban watu 40 wameaga dunia na zaidi ya 120 wamejeruhiwa baada ya kugongana kwa treni mbili karibu na mji wa kusini mwa Pakistani wa Daharki.
-
Watu wasiopungua 15 wafariki dunia, mamia ya nyumba yateketea, volcano ya Goma
May 24, 2021 08:02Watu karibu 15 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana mlipuko wa volkano uliotokea katika Mlima wa Nyiragongo, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).
-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 14:16Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
Makumi wapoteza maisha kwenye mkasa wa moto kiwandani Misri
Mar 12, 2021 02:42Makumi ya watu wamefariki dunia huku wengine wengi wakijeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyokikumba kiwanda kimoja cha nguo katika mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Watu zaidi ya 60 wapoteza maisha katika ajali ya boti DRC
Feb 16, 2021 07:55Watu wasiopungua 60 wamefariki dunia kufuatia ajali ya boti magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.