-
Iran yapuuzilia mbali madai ya kuuawa kinara wa al-Qaeda hapa nchini
Nov 14, 2020 08:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu Iran amekanusha vikali habari za kipropaganda zinazodai kuwa kiongozi wa ngazi za juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ameuawa hapa nchini.
-
Mahakama ya Marekani yataka kusailiwa maafisa wanne wa Saudi Arabia kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11
Sep 11, 2020 14:22Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na ikachukua hatua ya kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.
-
Jeshi la Yemen lamtia mbaroni kamanda mwandamizi wa al-Qaeda
Aug 30, 2020 11:10Vikosi vya Yemen vimetangaza habari ya kumtia nguvuni kamanda wa ngazi ya juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.
-
Kiongozi wa kundi la al-Qaeda kaskazini mwa Afrika auawa nchini Mali
Jun 06, 2020 07:53Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo ya Ulaya limefanikiwa kumuua kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika eneo la Maghreb kaskazini mwa Afrika (Aqim) huko nchini Mali.
-
Al-Qaeda yakiri kuhusika na shambulizi la bomu lililoua 90 Somalia
Dec 31, 2019 07:38Kundi la kigaidi la al-Shabaab lililojitangaza kuwa ni sehemu ya mtandao wa kigaidi wa al-Qaida limekiri kuhusika na shambulizi la bomu lililotokea mwishoni mwa wiki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Uungaji mkono wa kila upande wa Marekani na Saudi Arabia kwa kundi la al-Qaeda
Feb 05, 2019 13:11Kanali ya televisheni ya CCN imetangaza katika ripoti yake kwamba, Saudi Arabia imekuwa ikilipatia kundi la kigaidi la al-Qaeda silaha ambazo Marekani imeupatia muungano wa Kiarabu katika vita dhidi ya Yemen.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la al Qaida Libya aangamizwa
Jan 19, 2019 03:01Ripoiti kutoka Libya zinasema kuwa kinara wa kundi la kigaidi la al Qaida nchini humo ameuawa katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen
Aug 31, 2018 06:32Balozi wa Qatar nchini Marekani amezishutumu Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa na ushirikiano wa siri na magaidi wa al-Qaeda nchini Yemen.
-
Marekani, Saudia zashirikiana na Al Qaeda Yemen kukabiliana na Ansarullah
Aug 08, 2018 04:13Uchunguzi mpya umebaini kuwa muungano unaoongozwa na Saudia katika vita dhidi ya watu wa Yemen unashirikiana na magaidi wa Al Qaeda chini ya maelekezo ya Marekani kwa lengo la kukabiliana na harakati ya Ansarullah.
-
Kufichuliwa msaada wa kifedha wa Marekani kwa al Qaida nchini Sudan
Jul 27, 2018 04:43Kituo kimoja cha utafiti nchini Marekani kimefichua kuwa serikali ya zamani ya nchi hiyo ilikuwa ikilifadhili kifedha tawi la kundi la kigaidi la al Qaida huko Sudan.