-
Kufichuliwa msaada wa kifedha wa Marekani kwa al Qaida nchini Sudan
Jul 27, 2018 04:43Kituo kimoja cha utafiti nchini Marekani kimefichua kuwa serikali ya zamani ya nchi hiyo ilikuwa ikilifadhili kifedha tawi la kundi la kigaidi la al Qaida huko Sudan.
-
Kundi la kigaidi la al-Qaeda lamuonya vikali Bin Salman
Jun 02, 2018 04:09Kundi la kigaidi la al-Qaeda katika Peninsula ya Kiarabu (AQAP) limemuonya vikali Mohammed bin Salman, Mrithi wa Ufalme nchini Saudi Arabia kutokana na kile linachokitaja kuwa 'miradi yake miovu'.
-
Mkuu wa propaganda wa al Qaida kaskazini mwa Afrika, auawa
Feb 01, 2018 07:57Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuangamizwa magaidi wanne akiwemo mkuu wa propaganda wa mtandao wa al Qaida, kaskazini mwa Afrika.
-
Madai kuwa Iran ilikuwa na uhusiano na al-Qaida ni upotoshaji wa Marekani kwa kutumia dola za Saudia
Nov 03, 2017 14:57Nyaraka mpya zilizosambazwa na Shirika la Ujasusi la Marekani CIA sambamba na ripoti ya taasisi ya nchi hiyo inayodai kutetea demokrasia kuhusiana na shambulio la Marekani katika maficho ya Osama bin Laden, kiongozi wa zamani wa al-Qaida huko katika eneo la Abbottabad nchini Pakistan mwaka 2011, zinadai eti kuwepo uhusiano wa aina fulani kati ya kundi hilo la kigaidi na Iran.
-
Al-Qaidah yakiri kushirikiana na vibaraka wanaoungwa mkono na Marekani huko Yemen
May 02, 2017 07:44Kiongozi wa tawi la kundi la kigaidi la al-Qaidah nchini Yemen amesema kuwa, wanachama wa genge hilo la ukufurishaji wanashirikiana bega kwa bega na wavamizi wa Saudia chini ya uungaji mkono wa Marekani.
-
Kiongozi wa al Qaida nchini Libya aangamizwa
Jul 14, 2016 04:09Jeshi la Anga la Libya limetangaza kuwa limefanikiwa kumuangamiza kiongozi wa kundi la kigaidi la al Qaida nchini humo.
-
Mwanae bin Laden aitisha Marekani kuwa atalipiza kisasi
Jul 11, 2016 03:34Mwana wa kiume wa Osama bin Laden, kinara wa zamani wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda ametuma ujumbe wa sauti na kuitishia Marekani kuwa, atalipiza kisasi damu ya baba yake.
-
Kodivaa yamkamata mshukiwa wa ulipuaji bomu hoteli ya Grand Bassam
May 27, 2016 07:54Wakuu wa Kodivaa wamesema wamemkamata mtu anayeshukiwa kusafirisha silaha zilizotumika katika hujuma ya kigaidi ilyopelekea watu 19 kuuawa katika hoteli moja ya kifahari ya Grand Bassam nchini humo.
-
Gaidi mwandamizi wa al-Qaeda auawa nchini Syria
Apr 24, 2016 07:29Kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Ahrar al-Sham lenye mafungamano na mtandao wa kimataifa wa al-Qaeda ameuawa katika hujuma ya bomu iliyolenga ngome za kundi hilo katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria
Apr 10, 2016 03:05Tovuti moja ya habari imefichua kuwa Marekani hadi sasa imeshatoa msaada wa tani elfu tatu za silaha kwa magaidi wa Al Qaeda na washirika wao nchini Syria.