-
Miili 4,000 ya wahanga wa ukatili wa Wafaransa yagunduliwa nchini Algeria
May 10, 2022 10:17Waziri wa "Wanajihadi" wa Algeria ametangaza habari ya kugunduliwa visima chungu nzima vyenye miili 4,000 ya watu waliouliwa na wakoloni wa Ufaransa wakati wanajihadi wa Algeria walipoendesha mapambano makali dhidi ya wavamizi hao makatili wa Ulaya.
-
Kuendelea ukosoaji wa Algeria wa mauaji ya kinyama ya Ufaransa dhidi ya Waalgeria
May 10, 2022 08:56Licha ya kupita miongo kadhaa tangu Ufaransa ifanyye mauaji ya kinyama dhidi ya wananchi wa Algeria, lakini mafaili ya jinai hiyo yangali wazi na yanaweza kufuatiliwa.
-
Algeria kufuatilia jinai za Ufaransa nchini humo wakati wa ukoloni
May 09, 2022 10:57Rais wa Algeria amekosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyotokelezwa dhidi ya taifa hilo na dola la kikoloni la Ufaransa na kuongeza kuwa, Algeria itafuatilia faili la jinai za Ufaransa nchini humo katika zama za ukoloni na kuwa haiko tayari kufanya muamala kuhusu kadhia hiyo.
-
Watu 9 wamepoteza maisha katika mlipuko wa gesi mashariki mwa Algeria
Apr 08, 2022 13:06Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea jana mashariki mwa Algreia na kusababisha jengo la ghorofa tatu kuporomoka umeua watu 9 na kujeruhi wengine 16.
-
Kijana wa Algeria awapa watoto Wapalestina dola 2,800 alizoshinda kwenye mashindano ya Qurani
Apr 05, 2022 02:25Kijana wa Algeria aliyeibuka kidedea katika mashindano ya kuhifadhi Qurani tukufu, ametoa dola karibu elfu tatu alizoshinda kwenye mashindano hayo kwa ajili ya watoto wa Kipalestina.
-
Algeria yamwita balozi wake wa Madrid, baada ya Uhispania kubadili msimamo kuhusu Sahara Magharibi
Mar 20, 2022 07:55Algeria imemwita nyumbani balozi wake wa Uhispania kwa ajili ya mashauriano, kutokana na matamshi ya hivi karibuni ya Madrid kuhusu mgogoro wa Sahara Magharibi.
-
Waalgeria: Ufaransa ilipe fidia kwa hasara ilizotusababishia kwa majaribio yake ya nyuklia
Mar 03, 2022 07:54Wananchi wa Algeria wameitaka serikali ya Ufaransa ilipe fidia kwa hasara zilizosababishwa na majaribio yake ya nyuklia iliyofanya ndani ya nchi hiyo katika muongo wa 60 wa karne iliyopita.
-
Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria
Feb 17, 2022 08:03Rais wa Algeria amesema kuwa Israel na Morocco zinafanya njama ya kuibua hitilafu kati ya Ofisi ya Rais na Jeshi la Algeria na kuzusha fitna nchini humo.
-
Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika
Feb 08, 2022 08:58Mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 5 na 6 za mwezi huu wa Februari huko Addis Ababa Ethiopia umesitisha hadhi ya utawala ghasibu wa Israel ya kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo.
-
Algeria: Ni makosa makubwa kuipa Israel hadhi na mwanachama mwangalizi AU
Feb 06, 2022 09:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa ni kosa makubwa sana kuupatia utawala haramu wa Israel hadhi ya kuwa mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika (AU).