-
Iran yajibu baada ya Marekani kuiweka Answarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jan 14, 2021 08:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha serikali ya Marekani cha kuiingiza harakati ya wananchi ya Aswarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi ni kukamilisha njama haribifu za vita vya kikatili na dhulma walivyobebeshwa wananchi wasio na ulinzi wa Yemen.
-
Ansarullah: Kusalimu amri Saudia mbele ya Qatar kunaonesha uvamizi na mzingiro umefeli
Jan 06, 2021 04:41Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Saudi Arabia kuondoa mzingiro na kufungua tena mipaka yake ya anga, nchi kavu na baharini na Qatar inaonesha wazi kuwa sera za uvamizi na mzingiro zimefeli na kugonga mwamba.
-
Answarullah: Wavamizi hawatokuwa salama madhali Wayemen hawana usalama
Dec 15, 2020 11:38Mmoja wa viongozi waandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Aswarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, nchi zilizoivamia hiyo hiyo kamwe haziwezi kuwa salama maadamu zinaendelea kuwakosesha usalama wananchi wa Yemen.
-
Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Dec 05, 2020 12:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amepinga pendekezo la serikali ya Marekani la kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuiita kundi la kigaidi moja ya pande kuu zinazopigana nchini Yemen hakusaidii kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Ansarullah: Jibu lijalo la Wayemen kwa wavamizi litakuwa kali zaidi
Nov 25, 2020 08:09Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeonya kuwa jibu lijalo litakalotolewa kwa Wasaudia wavamizi litakuwa kali zaidi na pia kubwa zaidi kuliko la kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aramco.
-
Abdulmalik al-Houthi: Magharibi inawatumia wakufurishaji kuchafua sura ya Uislamu
Oct 20, 2020 02:34Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, Ufaransa na nchi zingine za Magharibi ndio waungaji mkono wa mwanzo kabisa wa makundi ya ukufurishaji huko Syria, Yemen na katika nchi zingine za Kiislamu kwa sababu zinawatumia wakufurishaji hao kuchafua jina la dini tukufu ya Uislamu.
-
Serikali ya Yemen: Tunashikilia mateka maelfu ya mamluki wa Saudia na Sudan
Oct 18, 2020 04:25Kamati ya Taifa inayoshughulikia masuala ya matekani nchini Yemen imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo linawashikilia mateka maelfu ya askari mamluki na vibaraka raia wa Saudi Arabia na Sudan.
-
Mapitio ya sababu za kutokea Mapinduzi ya Yemen ya Septemba 21
Sep 23, 2020 08:03Sayyid Abdul-Malik Badruddin al-Houthi, Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesema, Mapinduzi ya Septemba 21 yalikuwa mwanzo wa kuondokana na zama zilizopita za giza na kupiga hatua mbele kuelekea kwenye ujenzi wa mustakabali unaoendana na misingi na thamani za watu wa Yemen.
-
Ansarullah ya Yemen: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel ni usaliti kwa Palestina
Sep 18, 2020 02:43Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni khiyana na usaliti wa wazi kwa taifa la Palestina.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudia na Imarati zina nafasi haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Sep 15, 2020 02:35Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu hatari ya Saudi Arabia na Imarati na nafasi haribifu ya nchi hizo katika eneo la magharibi mwa Asia.