-
Iran yapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo dhidi ya nchi zingine
Feb 25, 2022 03:18Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Shahid Irlu alikuwa mtumishi wa wananchi wanaodhulumiwa wa Yemen
Dec 21, 2021 11:54Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, shahid Hasan Irlu, balozi wa Iran nchini Yemen ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona, alikuwa mtumishi wa wananchi madhulumu na wanamuqawama wa Yemen.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon asikitishwa na uamuzi wa Saudia kuhusiana na mabalozi wa nchi mbili
Oct 30, 2021 07:45Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati amesema, amesikitishwa na uamuzi wa Saudi Arabia wa kumpa muhula maalumu balozi wa Lebanon awe ameshaondoka nchini humo sambamba na kumwita nyumbani balozi wake wa mjini Beirut.
-
Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington
Sep 19, 2021 02:22Ufaransa imechukua uamuzi wa kumwita nyumbani balozi wake mjini Washington sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa serikali ya Paris na Marekani. Vilevile imechukua hatua ya kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Australia kama hatua ya kuonesha malalamiko yake.
-
Balozi wa Marekani nchini Russia aitwa kurejea nyumbani
Apr 20, 2021 08:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kwamba imemtaka balozi wake aliyeko mjini Moscow Russia arejee nyumbani kwa mashauriano zaidi na viongozi wa Washington.
-
Radiamali ya kindumakuwili ya Ufaransa kufuatia malalamiko ya Waislamu duniani
Oct 28, 2020 07:41Waislamu duniani kote wamekasirishwa na kushadidi vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa hasa cha kuchapishwa tena katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW. Hasira za Waislamu zimeongezeka maradufu baada ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutetea vitendo hivyo vya chuki dhidi ya Uislamu kwa kisingizo cha uhuru wa maoni.
-
Balozi wa Umoja wa Ulaya atimuliwa nchini Benin kwa kuwachochea wapinzani
Nov 30, 2019 04:35Serikali ya Benin, imemtimua balozi wa Umoja wa Ulaya kwa tuhuma za kuhusika katika machafuko ya hivi karibuni na pia kwa kuwachochea wapinzani wa nchi hiyo.
-
Balozi wa Uingereza Washington ajiuzulu baada ya kushambuliana kwa maneno na Trump
Jul 11, 2019 04:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imetangaza kuwa balozi wa London mjini Washington Kim Darroch, amejiuzulu kufuatia mzozo wa kushambuliana kwa maneno uliojiri baina yake na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran
May 28, 2019 08:04Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Paris Ufaransa amesema kuwa, silaha za nyuklia kamwe hazijawahi kuwemo kenye ajenda ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo
May 14, 2019 04:18Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesisitiza kuhusu ulazima wa kusimama kidete kukabiliana na utumiaji mabavu na sera za maamuzi ya upande mmoja za Marekani duniani.