• Matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula na mkwamo wa kisiasa nchini Marekani

  Matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula na mkwamo wa kisiasa nchini Marekani

  Nov 18, 2022 09:32

  Hatimaye, baada ya siku 9 za uchaguzi wa Marekani wa katikati ya muhula, kulingana na matokeo yaliyotangazwa ya uchaguzi wa Bunge la Kongresi, chama cha upinzani cha Republican kimepata wingi wa viti katika Baraza la Wawakilishi, nacho chama tawala cha Democratic kikapata wingi wa viti katika Baraza la Seneti.

 • Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

  Undumakuwili wa Marekani kuhusu suala la uhuru wa kujieleza

  Aug 29, 2022 02:33

  Kufuatia matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Nader Hashemi, Mhadhiri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Mashariki ya Kati katika Chuo Kikuu cha Denver, kuhusiana na uwezekano wa Israel kuhusika katika shambulio dhidi ya Salman Rushdie, Warepublican katika Congress ya Marekani wameonya kuhusu ushawishi wa Iran katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kutangaza kwamba watachunguza suala hilo katika miezi ijayo.

 • Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda

  Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda

  Aug 19, 2022 11:54

  Mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amsema Republicans ni chama hatari zaidi za siasa.

 • Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini

  Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini

  May 02, 2021 02:22

  Baada ya kupita siku 100 tokea Rais Joe Biden wa chama cha Democrat achukue madaraka ya Marekani, watu wamekuwa wakitathmini utendaji wa serikali yake katika kipindi hiki, kipindi ambacho baadhi ya wataalamu wanasema kwamba licha ya kufanikiwa katika baadhi ya sehemu lakini ameshindwa pakubwa kutekeleza ahadi alizotoa katika kampeni za uchaguzi.

 • Tangu wafuasi wa Trump wavamie bunge, maelfu ya Wamarekani wamekihama chama cha Republican

  Tangu wafuasi wa Trump wavamie bunge, maelfu ya Wamarekani wamekihama chama cha Republican

  Feb 16, 2021 12:28

  Vyombo vya habari vya habari nchini Marekani vimetangaza kuwa maelfu ya wanachama rasmi wa chama cha Republican wamejitoa katika chama hicho kufuatia uvamizi na hujuma zilizofanywa na wafuasi wa Donald Trump katika jengo la kongresi ya nchi hiyo.

 • Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa

  Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa

  Jan 07, 2021 09:56

  Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress

 • Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais

  Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais

  Dec 13, 2020 10:48

  Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.

 • Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi

  Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi

  Nov 18, 2020 02:23

  Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi hususan Afghanistan na Iraq ambao unatarajiwa kutangazwa katika siku za usoni na iliyokuwa moja ya ahadi muhimu za Trump umekabiliwa na upinzani mkali wa chama chake cha Repulican katika Kongresi ya nchi hiyo.

 • Mbunge wa chama tawala Marekani ataka Trump auzuliwe

  Mbunge wa chama tawala Marekani ataka Trump auzuliwe

  Jul 19, 2018 15:35

  Mbunge wa chama tawala cha Republican nchini Marekani amekosoa vikali utendaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo na kutoa wito wa kusailiwa na kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye katika Kongresi ya nchi hiyo.

 • Boston Herald: Warepublican wametiwa wasiwasi na hatua za Rais Trump

  Boston Herald: Warepublican wametiwa wasiwasi na hatua za Rais Trump

  Aug 22, 2017 02:40

  Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika katika ripoti yake kuwa wawakilishi wa chama cha Republican wanatiwa wasiwasi na hatua zinazochukuliwa na Rais wa nchi hiyo.