-
China: NATO inaiingiza dunia katika Vita Baridi
Mar 27, 2022 02:31China imelionya Shirika la Jeshi la Nchi za Magharibi NATO dhidi ya kuitumbukiza dunia katika kipindi kipya cha Vita Baridi kupitia sera zake za usalama zilizopitwa na wakati.
-
China: Marekani na NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali
Mar 25, 2022 14:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Marekani na shirika la kijeshi la NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali duniani.
-
Marekani na NATO wahusika wakuu wa mzozo wa Ukraine
Mar 18, 2022 15:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema Marekani na NATO ndio wasababishaji wakuu wa mgogoro wa Ukraine na ndio wenye ufunguo wa kumaliza mgogoro huo.
-
Khatibzadeh: Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo za Marekani
Mar 07, 2022 12:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo na si kwa mujibu wa jumbe zisizo wazi za Marekani katika mazungumzo ya Vienna.
-
Borell apendekeza China iwe mpatanishi kati ya Russia na Ukraine
Mar 06, 2022 04:22Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amependekeza nchi ya tatu iwe mpatanishi wa kumaliza mivutano kati ya Russia na Ukraine.
-
China yaanza mazoezi ya kijeshi ya wiki nzima katika bahari ya China Kusini
Mar 06, 2022 04:21China imetangaza kuanza mazoezi ya kijeshi ya vikosi vyake vya ulinzi katika eneo la bahari ya China Kusini.
-
China yalaani uchokozi wa meli ya kivita ya Marekani katika Njia Bahari ya Taiwan
Feb 27, 2022 08:04China imeutaja kuwa ni "uchochezi" hatua ya kupita meli ya kivita ya Marekani katika Lango Bahari la Taiwan ambalo ni nyeti kimkakati, kwani inatenganisha eneo la Taipei ya China (Taiwan) linalojitawala na China Bara.
-
Iran yapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo dhidi ya nchi zingine
Feb 25, 2022 03:18Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran
Feb 14, 2022 03:11Awamu ya nane ya mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 inaendelea katika Hoteli ya Palais Coburg nchini Austria huku kukiwa na dalili nzuri za kufanyika mazungumzo katika mazingira yenye kuleta matumaini. Mazungumzo hayo yanaendelea baada ya kusimama kidogo kwa ajili ya kutoa fursa kwa timu za mazungumzo kurejea katika nchi zao kwa mashauriano.
-
China: Sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake
Feb 13, 2022 04:15Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China amesema, sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake.