-
Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani
May 21, 2022 03:14"Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.
-
Seneta Rand Paul: Marekani ni kinara wa kusambaza habari za uongo duniani
May 06, 2022 12:31Seneta wa chama cha Republican, Rand Paul amesema serikali ya Marekani ndiyo kinara wa kueneza habari za uongo katika historia ya dunia.
-
Kiwango cha maambukizi ya corona chapungua duniani kwa wiki ya tatu mtawalia
Apr 14, 2022 02:25Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 duniani kimepungua kwa kwa wiki ya tatu mfululizo hadi kufikia tarehe 10 Aprili.
-
Covid-19 imeandaa mazingira ya kushadidi ukosefu wa usawa na uadilifu duniani
Jan 20, 2022 04:30Shirika la Kimataifa la Misaada ya Kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, mbali na watu katika maeneo mbalimbali ya dunia kuwa maskini zaidi katika kipindi cha tangu kuibuka maradhi ya corona, dhulma na ukosefu wa usawa nao umechukua mkondo wa kuongezeka.
-
Benki ya Dunia yatahadharisha kuhusu ongezeko la madeni ya nchi maskini
Oct 13, 2021 02:31Benki ya Dunia imetahadharisha juu ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa madeni ya nchi zenye vipato vya chini duniani na taathira zake kwa uchumi wa dunia.
-
Saudi Arabia ni nchi mbaya zaidi duniani kwa upande wa ukiukaji wa uhuru hasa wa kisiasa
Sep 07, 2021 11:08Taasisi moja ya Utafiti ya nchini Marekani imetangaza kuwa Saudi Arabia ni nchi ya saba kwa kukiuka uhuru na demokrasia duniani.
-
Watu zaidi ya milioni 4 na laki tano wamepoteza maisha kwa corona duniani
Aug 31, 2021 03:46Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa jumla ya watu milioni 217 laki tatu elfu 67 na 883 wamepatwa na maambukizi ya corona duniani hadi sasa huku wengine milioni 4 na 518,030 wakiaga dunia kwa ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote.
-
Foreign Policy: Janga la corona linatishia kuzusha uasi, machafuko na migogoro ya kisiasa
Jul 24, 2021 03:55Tovuti ya Foreign Policy imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya kisiasa duniani kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona ambavyo imesema vinatishia kuharakisha uasi, machafuko na migogoro ya kisiasa ya muda mrefu.
-
Corona imeua watu karibu milioni 7 duniani, maradufu ya idadi iliyotangazwa
May 07, 2021 07:43Taasisi moja ya kutathmini data za afya katika Chuo Kikuu cha Washington DC nchini Marekani imesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 duniani ni mara mbili ya idadi iliyotangazwa kufikia sasa.
-
Kukosoa Guterres ukiritimba na ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya Corona baina ya mataifa ya dunia
Apr 06, 2021 12:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amekosoa namna chanjo ya corona inavyozalishwa na kugawiwa baina ya nchi mbalimbali duniani.