-
Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria
Nov 14, 2021 11:12Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).
-
The Guardian: Tunajuta kuunga mkono kuundwa utawala wa kizayuni wa Israel
May 12, 2021 00:54Gazeti la The Guardian la Uingereza limeandika makala kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 200 tangu gazeti hilo linzishwe na limeeleza majuto yake kwa kuunga mkono suala la kuanzishwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Paletina.
-
Haaretz: Chokochoko za Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto
Apr 23, 2021 12:00Gazeti la Kizayuni la Haaretz limemtahadharisha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel likieleza kuwa, chokochoko za Benjamin Netanyahu dhidi ya Iran ni sawa na kucheza na moto na kwamba zinaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Israel.
-
Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno
Jul 19, 2020 02:49Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala inayomkosoa vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kueleza kuwa, mwanasiasa huyo ni kirusi hatari mno.
-
Kuzifungia tovuti za kimataifa za vyombo vya habari vya Iran, njama za Marekani zilizoshindwa zamani
Apr 27, 2020 10:09Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za vikwazo vya kiwango cha juu kabisa, serikali ya Donald Trump huko Marekani si tu imeiwekea Iran vikwazo vikubwa ambavyo havijawahi kushuhudiwa, lakini pia imekuwa ikifanya njama kubwa za kuibana Tehran katika kila upande, ikiwa ni pamoja na upande wa vyombo vya habari, ili kuzuia sauti ya haki ya Jamhuri ya Kiislamu isiwafikie walimwengu.
-
Gazeti la Saudia: Mahujaji wa Qatar wachague Hijja au kuuangusha utawala wa nchi yao
Aug 15, 2018 07:30Gazeti la Okaz la nchini Saudi Arabia limewataka mahujaji wa Qatar kuchagua moja kati ya mawili, ima kufanya ibada ya Hijja na kuunga mkono utawala wa Al Thani na kwamba iwapo wanataka kutekeleza ibada hiyo, basi wanatakiwa kwanza kuuondoa madarakani utawala huo.
-
Magazeti ya Ujerumani yamkosoa Trump, yamwita "mpumbavu"
Jun 12, 2018 08:17Magazeti ya Ujerumani yamemtaja Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ni mtu asiyejua mipaka yake wala asiye na mantiki na yamezitaka nchi zote za Ulaya kuacha kumfuata kiongozi huyo.
-
Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds
Jun 06, 2018 02:34Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.
-
Gazeti la Quds al-Arabi: Mgogoro wa Morocco hautatatuliwa kijeshi
Jun 27, 2017 15:07Mtandao wa habari wa gazeti la Quds al-Arabi limeandika kuwa, mgogoro wa malalamiko ya raia wa eneo la kaskazini mwa Morocco, hauwezi kutatuliwa kwa kutumia mabavu, bali utatatuliwa kwa kutekeleza malalamiko ya wananchi.
-
Uturuki: Mfalme Salman wa Saudia ni mtu hatari sana kwa kueneza fitna
Jun 08, 2017 15:21Gazeti la Uturuki la Yeni Akit limemtaja Mfalme Salman bin Abdulaziz Aal Saud wa Saudia kuwa ni mtu hatari sana kwa kueneza fitina baina ya nchi za Kiislamu.