-
HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu
May 04, 2022 11:52Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Wapalestina na kwamba Wazayuni hawapaswi kuuvuuka.
-
HAMAS yatoa mwito kwa Wapalestina kusimama imara kukabiliana na Wazayuni
Apr 14, 2022 10:24Naibu wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema baada ya Wazayuni kuwaua shahidi vijana wanne wa Kipalestina kwamba wananchi wote wa Palestina wanapaswa kusimama imara kupambana kiume na Wazayuni.
-
HAMAS: Vitisho vya Israel haviwezi kuwababaisha Wapalestina
Apr 13, 2022 07:37Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amejibu matamshi ya kifedhuli ya Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz na kusisitiza kuwa: Vitisho kamwe haviwezi kuwababaisha na kuwashtua Wapalestina
-
Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin
Apr 03, 2022 08:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelionya vikali jeshi katili la utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Jenin.
-
Az-Zahar: Operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao walichozabwa wafanya mapatano
Mar 29, 2022 07:57Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao ambacho walichapwa wafanyamapatano na wale walio kitu kimoja na utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Hamas: Zama za ubabe wa Marekani zimefika ukingoni
Feb 27, 2022 08:08Mkuu wa sera za kigeni katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) amesema moja kati ya mafunzo yanayopatikana katika vita vya Russia na Ukraine ni kuwa, zama za ubabe wa Marekani duniani zimefika ukingoni.
-
HAMAS yaionya Israel iache kucheza na moto
Feb 13, 2022 12:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wapalestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina
Feb 11, 2022 02:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mrengo wa muqawama utalipiza kisasi cha damu za vijana watatu wa Kipalestina waliouawa shahidi hivi karibuni na jeshi katili la utawala haramu wa Israel.
-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 02, 2022 02:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
HAMAS: Hatuwezi kukubali kuwa na utulivu wa kiuchumi na Wazayuni wakati bado wamezikalia kwa mabavu ardhi zetu
Feb 01, 2022 03:03Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo haiwezi kukubali kuwa na usalama wa kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel maadamu utawala huo pandikizi unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.