-
HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina
Feb 11, 2022 02:31Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mrengo wa muqawama utalipiza kisasi cha damu za vijana watatu wa Kipalestina waliouawa shahidi hivi karibuni na jeshi katili la utawala haramu wa Israel.
-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 02, 2022 02:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
HAMAS: Hatuwezi kukubali kuwa na utulivu wa kiuchumi na Wazayuni wakati bado wamezikalia kwa mabavu ardhi zetu
Feb 01, 2022 03:03Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo haiwezi kukubali kuwa na usalama wa kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel maadamu utawala huo pandikizi unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Hamas yamshukuru mcheza tenisi Mkuwaiti aliyekataa kucheza na Mzayuni
Jan 29, 2022 10:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tenisi wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha
Jan 12, 2022 04:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
HAMAS: Njama mpya za Israel huko Golan ni hujuma dhidi ya Waarabu
Dec 29, 2021 07:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan ya Syria ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Waarabu wote.
-
Abbas akosolewa kwa kujidhalilisha mbele ya Waziri wa Vita wa Israel
Dec 29, 2021 07:42Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS yaionya Israel kuhusiana na hujuma zake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Dec 19, 2021 03:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha hujuma na mashambulio yake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mapambano ya silaha na Israel na umoja wa Wapalestina; mihimili mikuu miwili ya harakati ya HAMAS
Dec 16, 2021 11:42Jumanne ya juzi tarehe 14 Disemba ilinasadifiana na mwaka wa 34 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS.
-
Sasa Hamas ina uwezo wa kupiga popote katika ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel
Dec 16, 2021 07:30Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, sasa harakati hiyo ya Kiislamu ina nguvu kubwa za kijeshi ambazo zinaiwezesha kupiga popote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.