-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu yalaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW nchini India
Jun 10, 2022 10:27Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu amelaani vikali kitendo cha wanasiasa wa India cha kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW.
-
Lebanon: Kitendo cha kiongozi wa India cha kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu lazima kilaaniwe
Jun 09, 2022 03:03Waziri Mkuu wa Lebanon amelaani kitendo cha kiongozi mmoja wa India cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, uhalifu huo lazima ulaaniwe.
-
Radiamali mbalimbali kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wa chama tawala nchini India ya kumvunjia heshima Mtume SAW
Jun 07, 2022 10:48Matamshi ya utovu wa adabu ya viongozi wawili wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata (BJP) dhidi ya Bwana Mtume (SAW) yamekabiliwa na wimbi la malalamiko ya mataifa ya Kiislamu na Waislamu kwa ujumla ulimwenguni.
-
Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili
Jun 06, 2022 10:13Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.
-
Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Jun 06, 2022 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 20, 2022 01:20Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu
May 11, 2022 02:40Serikali ya Singapore imepiga marufuku kuonyeshwa nchini humo filamu ya sinema ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
-
Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa
Apr 18, 2022 13:07Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu imewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya India, ikiitaka kuingilia kati baada ya matingatinga na serikali kuharibu mali na milki za Waislamu wanaotuhumiwa kuhusika na ghasia katika majimbo yanayoongozwa na chama cha Waziri Mkuu, Narendra Modi cha Bharatiya Janata Party (BJP).
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 07:03Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.
-
Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki
Mar 30, 2022 11:48Wimbi la kejeli na hasira limetanda katika mitandao ya kijamii nchini India baada ya mahakama kufunga kesi dhidi ya wanasiasa wawili waliotoa matamshi ya kichochezi dhidi ya Waislamu, ikisema kuwa uchochezi si kauli za chuki ukiambatana na tabasamu.