-
Tunisia: Hatufanyi mazungumzo ya kidiplomasia na Israel
Jun 09, 2022 23:20Tunisia imekadhibisha ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa imeanzisha mazungumzo ya kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kutapelekea kudhalilika madola ya Kiarabu
Jun 08, 2022 11:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema tawala za Kiarabu zilizokhitari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel bila ridhaa ya wananchi wao hazitakumbwa na hatima nyingine ghairi ya kuishia kudhalilishwa na kutumiwa vibaya na utawala huo haramu.
-
UN: Israel kupora ardhi na kuwabagua Wapalestina, chachu ya ghasia na migogoro
Jun 08, 2022 10:53Timu ya ngazi ya juu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kuwafanyia Wapalestina vitendo vya kibaguzi ndio sababu kuu ya kushuhudiwa mawimbi ya ghasia zisizokwisha katika ardhi hizo zilizoghusubiwa.
-
Jenerali: Tutateketeza Tel Aviv, Haifa iwapo Israel itafanya kosa dhidi ya Iran
Jun 08, 2022 10:49Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, Tehran itaiteketeza miji ya Tel Aviv na Haifa iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utajaribu kufanya kosa lolote dhidi ya taifa hili.
-
Amnesty International: Israel ikubali kubeba dhima ya jinai zake dhidi ya Wapalestina
May 19, 2022 12:35Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesisitiza kuwa, haipasi tusahau kuuawa kwa Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya Aljazeera.
-
Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel
Apr 25, 2022 10:42Mrengo wa Sadr unaoongozwa na mwanachuoni mashuhuri wa Kishia nchini Iraq, Muqtada al-Sadr umeandaa muswada wa sheria inayoharamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Morocco yaendeleza siasa za kindumilakuwili kuhusu wananchi wa Palestina
Apr 23, 2022 02:49Baada ya serikali ya kifalme ya Morocco kufanya usaliti dhidi ya kadhia ya Palestina ambayo ndiyo muhimu zaidi kwa Umma wa Kiislamu, na baada ya Rabbat kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala pandikizi wa Kizayuni, hivi sasa nchi hiyo inajifanya kuguswa na jinai za Israel.
-
Al-Jazeera: Iran imeionya Israel, yaiambia maghala yako ya silaha yatalengwa
Apr 22, 2022 07:11Televisheni ya Al-Jazeera ya Qatari imeripoti kuwa, Iran imetuma picha na ramani za maghala ya silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni kwa serikali ya Tel Aviv kupitia nchi moja ya Ulaya.
-
Mufti wa Oman awakosoa viongozi wa Kiarabu wanaofuturu na Wazayuni huku al Aqsa ikitiwa najisi
Apr 21, 2022 02:49Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili, amepongeza misimamo ya kishujaa ya wanamapambano wanaoendelea kukabiliana na uvamizi wa mara kwa mara wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mkuu wa zamani wa ujasusi wa Israel: Bin Salman anaitazama Tel Aviv kama mshirika
Apr 17, 2022 07:53Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anaitazama Tel Aviv kama mshirika wake wa karibu.