-
Wataliano waandamana kulaani mashambulizi dhidi ya Wapalestina al-Aqsa
Apr 19, 2022 07:25Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome ya kulaani mashambulio ya wanajeshi makatili wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Msikiti wa al-Aqsa ulioko katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
DRC yawakamata wanaotuhumiwa kumuua balozi wa Italia
Jan 20, 2022 04:24Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimewatia nguvuni watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa balozi wa Italia nchini humo.
-
Wanawake nchini Italia waandamana kulaani ukatili wa kijinsia
Nov 28, 2021 11:59Mitaa na barabara za Rome, mji mkuu wa Italia zimeshuhudia maandamano makubwa ya wanawake wanaolalamikia ongezeko la kesi za ukatili wa kijinsia na mizozo ya kinyumbani.
-
Watu wenye kirusi kipya cha corona cha Omicron wapatikana Ujerumani, Uingereza na Italia
Nov 28, 2021 07:46Mashirika ya tiba katika nchi za Ujerumani, Uingereza na Italia yametangaza kuwa watu kadhaa wamegunduliwa kuwa na aina mpya ya kirusi cha corona cha omicron ambacho kinasambaa kwa kasi zaidi kulinganisha na spishi za kabla yake.
-
Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho
Aug 06, 2021 02:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia ametoa wito wa kuitishwa kikao maalumu cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa wakimbizi na kugawana wakimbizi hao baina ya nchi za Ulaya kwa uadilifu.
-
Italia yakanusha madai ya kutaka kuimarisha uwepo wa askari wake Libya
Jun 27, 2021 07:34Wizara ya Ulinzi ya Italia imekadhibisha madai ya baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rome ina mpango wa kuongeza idadi ya wanajeshi wake nchini Libya.
-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina yafanyika Italia
Jun 06, 2021 12:44Watu wa Italia wameshiriki katika maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Roma kwa lengo la kutangaza uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina sambamba na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya
Mar 27, 2021 02:30Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.
-
Italia: Tunaunga mkono juhudi za kuleta amani na utulivu nchini Libya
Mar 12, 2021 12:02Serikali ya Italia imesema kuwa inaunga mkono kikamilifu juhudi za kurejesha amani na utulivu katika nchi ya kaskazini mwa Afrika ya Libya.
-
Italia pia yasitisha mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Jan 30, 2021 07:52Serikali ya Italia imesimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, baada ya wanaharakati na wabunge wa nchi hiyo ya Ulaya kuonya kuwa, silaha hizo zinatumika kukanyaga haki za binadamu nchini Yemen.