-
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Nov 07, 2020 11:47Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.
-
Rais Ouattara ashinda uchaguzi wa urais Ivory Coast, wapinzani walisusia
Nov 04, 2020 00:16Rais Alassane Ouattara ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais nchini Ivory Coast huku wapinzani walioususia uchaguzi huo wakisema wataunda serikali ya mpito.
-
Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%
Nov 03, 2020 07:13Tume ya Uchaguzi ya Ivory Casot imemtangaza Rais wa sasa wa nchi hiyo, Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Waivory Coast wanachagua rais leo, hali inatajwa kuwa tete
Oct 31, 2020 11:59Mamilioni ya wananchi wa Ivory Coast wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura hii leo Jumamosi katika uchaguzi wa rais huku kukiwepo wasiwasi wa kutokea ghasia na machafuko makubwa baada ya kambi ya upinzani kutoa wito wa kususiwa uchaguzi huo.
-
Wapinzani Ivory Coast waitisha uasi wa kijamii kipinga muhula wa tatu wa Ouattara
Sep 21, 2020 11:18Wapinza wa serikali ya Ivory Coast wametoa wito wa kufanyika uasi wa kijamii kote nchini humo wakipinga azma ya rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ya kugombea tena kiti hicho kwsa muhula wa tatu.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 15, 2020 03:35Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
Wapinzani waendelea kupinga Ouattara kugombea tena urais Ivory Coast
Sep 09, 2020 11:41Wapinzani nchini Kodivaa wamendelea kupinga na kulalamikia hatua ya Rais Alassane Outtara ya kuamua kugombea tena urais nchini humo.
-
Watu wawili wauawa Ivory Coast baada Ouatarra kutangaza kugombea tena urais
Aug 24, 2020 07:15Watu wawili wameuwawa katika machafuko ya kikabila nchini Ivory Coast baada ya rais Alassane Ouattara kutangaza kwamba atawania muhula wa tatu madarakani.
-
Alassane Ouattara kugombea kiti cha urais Kodivaa kwa mara ya tatu
Aug 24, 2020 02:31Mkutano wa kumuarifisha Alassane Ouattara kama mgombea wa kiti cha rais katika uchaguzi ujao nchini Ivory Coast umefanyika katika mji wa nchi hiyo, Abdijan.
-
Wapinzani Ivory Coast waendelea kupinga “muhula wa tatu” urais cha Ouattara
Aug 15, 2020 10:04Makundi na vyama vya upinzani nchini Ivory Coast vimeendelea kupinga vikali uamuzi wa rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara wa kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu mfululizo.