-
Mazungumzo ya amani ya CAR yamalizika pasina na matunda yoyote
Mar 29, 2022 01:30Mazungumzo ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyoathiriwa na vita vya ndani vinavyoendelea tangu mwaka 2013 yamemalizika pasina na kuchukuliwa na maamuzi muhimu.
-
Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Mar 25, 2022 14:24Watu wasiopungua watano wameuawa baada ya genge moja la waasi kushambulia kambi ya jeshi huko mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Shambulio jipya la waasi laua watu 33 Jamhuri ya Afrika ya Kati
Dec 02, 2021 08:12Watu wapatao 33, wakiwemo wanajeshi wawili, wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa kwa wakati mmoja na watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa waasi wa kundi liitwalo 3R katika vijiji viwili vilivyoko kaskazini magharibi mwa mkoa wa Ouham-Pendé, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wakimbizi 15,000 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamiminika Kongo DR
Nov 05, 2021 07:47Zaidi ya raia 15,000 wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waliokimbia mapigano kati ya jeshi na waasi wamevuka mpaka na kuingia eneo la Bosobolo, Ubangi Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndani ya muda wa siku 17.
-
Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati zafikia makubaliano ya kilimo + Sauti
Sep 15, 2021 04:24Nchi za Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zimekubaliana kuunda tume maalumu itakayoratibu ushirikiano wa mataifa hayo mawili katika sekta ya kilimo na biashara,. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali
-
UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR
Aug 01, 2021 08:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu sita wameuawa katika shambulio la waasi wanaobeba silaha kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Raia 13 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jul 23, 2021 07:45Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuuawa raia wasiopungua 13 katika shambulio la wabeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
7 wauawa baada ya waasi kushambulia kambi za jeshi CAR
Jul 01, 2021 07:38Watu wasiopungua saba wameuawa katika msururu wa mashambulio ya genge moja la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Russia yakanusha kuhusika wakufunzi wake wa kijeshi na mauaji huko CAR
Jun 29, 2021 11:21Ikulu ya Russia (Kremlin) imekanusha madai kwamba wakufunzi wa kijeshi wa nchi hiyo waliopo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wamehusika katika mauaji ya raia na kupora mali za watu majumbani.
-
UN yakosoa mienendo ya vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 17, 2021 06:51Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewakosoa vikali maafisa usalama wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, kwa kile alichokitaja kuwa kushtadi mienendo ya kiuhasama na vitisho dhidi ya askari wa kulinda amani wa umoja huo nchini humo.