-
Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League
Mar 11, 2022 08:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Aboul Gheit: Maambukizi ya corona yamezidisha umaskini katika Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 14, 2022 03:20Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema janga la corona limezidisha pakubwa umaskini na ukosefu wa ajira miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo
Nov 26, 2021 10:35Mwanachama wa Kamisheni ya Usalama wa Kitaifa na Siasa za kigeni ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema ombi la nchi za Kiarabu la kutaka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, ni alama ya kushindwa siasa za kuvuruga usalama na kutaka kubadilisha muundo wa siasa nchini Syria.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaunga mkono mwafaka wa kisiasa uliofikiwa nchini Sudan
Nov 24, 2021 16:19Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema, jumuiya hiyo inaunga mkono makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa nchini Sudan.
-
Iran yalaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Waarabu
Sep 10, 2021 12:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ethiopia yapinga azimio la Arab League kuhusu Bwawa la Renaissance
Jun 17, 2021 02:27Ethiopia imepinga na kukosoa vikali azimio lililopasishwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu linalolitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati mgogoro juu ya Bwawa la al-Nahdha.
-
Hatimae Arab League yajitutumua kujadili jinai za utawala wa Kizayuni
May 09, 2021 05:50Hatimaye Jumuiya ya nchi za Kiarabu (Arab League) imeamua kuitisha kikao cha kuchukua maamuzi kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia ombi la Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Arab League: Maazimio ya Baraza la Usalama la UN kuhusu ulazima kuondoka maghasibu huko Palestina yatekelezwe
Apr 21, 2021 02:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza udharura wa kutekelezwa maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayotaka kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League
Apr 13, 2021 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Arab League yatakiwa iache kutoa taarifa zisizo na msingi
Mar 06, 2021 08:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ijiepushe na tabia yake ya kutoa taarifa zisizo na msingi wowote na badala yake, ikumbatie mambo ambayo yanaweza kuimarisha ushirikiano wa nchi za eneo.