-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Islamabad
Mar 23, 2022 10:46Mkutano wa 48 wa siku mbili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumanne mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan.
-
Amir-Abdollahian: Tunatumai ushirikiano wa Iran na Saudia utasaidia kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 04, 2022 08:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Baada ya miaka 6; hatimaye wanadiplomasia watatu wa Iran wawasili mjini Jiddah Saudia
Jan 18, 2022 02:36Baada ya kupita miaka 6 ya Saudia kutoruhusu uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndani ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC, hatimaye hivi Riyadh sasa imeruhusu na tayari wanadiplomasia watatu wa Iran wamewasili mjini Jeddah kwa ajili ya kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika jumuiya hiyo.
-
OIC yamlaani rais wa Israel kwa kuingia Msikiti wa Ibrahim AS kinyume cha sheria
Nov 30, 2021 07:54Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hatua ya Rais Isaac Herzog wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia kinyume cha sheria katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS katika mji wa Al Khalil au Hebron kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran yampongeza Katibu Mkuu mpya wa OIC kwa kuanza kazi rasmi
Nov 25, 2021 14:34Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi balozi Hussein Ibrahim Taha, Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Uushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa kuanza rasmi kazi yake na kueleza utayarifu wa Tehran kwa kushirikiana naye.
-
Sisitizo la Iran la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa na mchango amilifu zaidi nchini Afghanistan
Oct 20, 2021 02:21Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh huko Afghanistan ni kuchochea chuki na uadui wa kimadhehebu na ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ilaani vikali vitendo vya kinyama vya Daesh.
-
Iran yaitaka OIC ilaani mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Afghanistan
Oct 19, 2021 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa lengo la genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) huko Afghanistan ni kuchochea chuki na uadui wa kimadhehebu na ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ilaani vikali vitendo vya kinyama vya Daesh.
-
OIC yalaani hatua ya Israel kubomoa makuburi ya Wapalestina Quds
Oct 13, 2021 12:56Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kubomoa makaburi ya Waislamu katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa OIC kimeanza Niamey, Niger
Nov 28, 2020 04:32Kikao cha 47 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) kimeanza huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
OIC yasikitishwa na maafisa wa Ufaransa kumtusi Mtume Muhammad (SAW)
Oct 24, 2020 07:38Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya maafisa wa serikali ya Ufaransa ya kuendelea kumtusi na kumvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).