-
Kikao cha tatu kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Palestina, kuendelea ukwamishaji wa Marekani
May 17, 2021 08:39Kwa mara nyingine tena, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa hata kulaani jinai za utawala wa Kizayuni kutokana na ukwamishaji wa dola la kibeberu la Marekani.
-
Kikao kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Quds sanjari na ukwamishaji mambo wa Marekani
May 11, 2021 14:17Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya mambo huko Quds Palestina kilifanyika Jumatatu ya jana tarehe 10 Mei na kumalizika bila ya natija yoyote.
-
Ulyanov: Mafanikio ya awali yamepatikana katika kikao cha Vienna
Apr 10, 2021 02:36Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna amesema kuwa kumepatikana mafanikio ya awali katika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika mji mkuu wa Austria.
-
Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran
Apr 08, 2021 08:07Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.
-
Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China
Mar 21, 2021 03:19Kushadidi mpambano baina ya Marekani na China tangu baada ya Joe Biden kushika hatamu za uongozi kumezifanya pande hizo mbili kuitisha kikao cha ngazi za juu ambacho kilifanyika Alkhamisi iliyopita katika eneo la Anchorage kwenye jimbo la Alaska.
-
Utayarifu wa serikali ya Afghanistan wa kushiriki kikao cha amani cha mjini Moscow, Russia
Mar 14, 2021 02:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa ujumbe unaoiwakilisha serikali ya nchi hiyo utashiriki katika kikao cha amani kuhusu Afghanistan kilichopangwa kufanyika huko Moscow mji mkuu wa Russia.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen
Mar 03, 2021 08:28Mnamo Machi 2015, Saudi Arabia, ikishirikiana kwa karibu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati), ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hivi sasa wakati vita hivyo vikiingia mwaka wa saba, nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu.
-
Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad
Feb 17, 2021 02:24Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.
-
Kikao cha Umoja wa Afrika na jitihada za kukomesha migogoro ya bara hilo
Feb 07, 2021 12:21Kikao cha 34 cha viongozi wa nchi za Afrika wanachama katika Umoja wa Afrika (AU) kimefanyika kwa shabaha ya kujadili jinsi ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, njia bora za kukabiliana na virusi hivyo na jinsi ya kupunguza migogoro barani Afrika.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 12:18Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.