-
Waafghani wote walioko Iran wamepokea chanjo ya bure ya COVID-19
Apr 23, 2022 02:35Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema raia wote wa Afghanistan wanaoshi kama wakimbizi hapa nchini wamepigwa chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 bila malipo.
-
Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Afrika Kusini
Apr 22, 2022 07:55Afrika Kusini ambayo ilikuwa shwari kutokana na kupungua kwa maambukizi ya corona kwa kiasi fulani katika siku za karibuni imetangaza kukumbwa kwa mara nyingine tena na ongezeko la maambukizi ya corona nchini humo.
-
Kiwango cha maambukizi ya corona chapungua duniani kwa wiki ya tatu mtawalia
Apr 14, 2022 02:25Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 duniani kimepungua kwa kwa wiki ya tatu mfululizo hadi kufikia tarehe 10 Aprili.
-
Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka Uingereza
Apr 06, 2022 11:14Idadi ya watu wanaougua ugonjwa wa UVIKO1-19 nchini Uingereza khususan wale wanaopatwa na maambukizi aina mpya ya kirusi cha corona cha Omicron inazidi kuongezeka.
-
Chanjo ya kwanza ya COVID-19 kwa njia ya pua duniani yasajiliwa Russia
Apr 02, 2022 07:50Wizara ya Afya ya Russia imesajili chanzo ya kwanza duniani ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kupitia puani.
-
Shirika la Afya Duniani laonya kuhusu mlipuko mpya wa corona
Mar 17, 2022 08:52Shirika la Afya Duniani limeonya kwamba kuondoa vizuizi vya kijamii, kupunguza uzingatiaji wa masuala ya afya ya umma na viwango vya chini vya chanjo vimesababisha ongezeko la idadi ya visa vya maambukizi ya Covid-19 duniani.
-
WHO inaanza kujadili vipi na lini itangaze kumalizika kwa janga la COVID-19
Mar 12, 2022 06:53Wataalamu wa afya ya jamii katika Shirika la Afya Duniani WHO wameanza kujadili vipi na lini itangazwe kumalizika kwa janga la dunia nzima la maradhi ya COVID-19, tukio linalotazamiwa kuwa na umuhimu kihistoria baada ya kupita zaidi ya miaka miwili tangu kilipojitokeza kirusi cha maradhi hayo.
-
Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine
Mar 11, 2022 04:43Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo.
-
Iran yafanyia majaribio yaliyofana chanjo ya kukabiliana na Omicron
Feb 17, 2022 03:19Shirika la Kutengeneza Dawa la Shifa la Iran limetangaza mafanikio makubwa ya awali katika majaribio ya chanjo ya kukabiliana na COVID-19 aina ya Omicron.
-
Zanzibar yazindua teknolojia mpya ya kupima corona kwa simu
Feb 17, 2022 03:18Serikali ya Zanzibar jana Jumatano ilizindua rasmi teknolojia mpya inayoweza kutambua uwezekano wa maambukizi ya Covid-19 kwa muda mfupi kwa kutumia simu (EDE).