-
Aboul Gheit: Maambukizi ya corona yamezidisha umaskini katika Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 14, 2022 03:20Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema janga la corona limezidisha pakubwa umaskini na ukosefu wa ajira miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
-
Aina mpya ya spishi ya Corona ya Omicron yaripotiwa katika nchi 57 duniani
Feb 03, 2022 03:11Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema aina mpya ya spishi ya kirusi cha Corona cha Omicron imeripotiwa katika nchi 57 duniani kufikia sasa.
-
ICN yatahadharisha kuhusu ukosefu wa usawa katika sekta ya afya zama za corona
Jan 24, 2022 12:28Baraza la Kimataifa la Wauguzi (ICN) limeonya juu ya kuongezeka harakati ya kuajiri wauguzi kutoka nchi maskini kwenda nchi tajiri huku aina ya Omicron ya kirusi cha corona ikiongezeka katika nchi hizo.
-
WHO: Omicron huwenda ikahitimisha corona barani Ulaya
Jan 24, 2022 03:12Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani barani Ulaya ameeleza kuwa maambukizi ya kirusi cha corona aina ya Omicron huwenda yakawa mwisho wa kumalizika ugonjwa wa UVIKO-19 barani Ulaya.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 22, 2022 02:39Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
CAF yaweka sheria za ajabu za corona katika fainali za AFCON 2021 huko Cameroon
Jan 10, 2022 06:17Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF limetangaza sheria zilizowastaajabisha wengi za corona Katika mashindayo yaliyoanza jana ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.
-
Maambukizi ya Corona Afrika yapindukia kesi milioni 10, WHO yatahadharisha kuhusu tsunami ya kutatanisha
Jan 08, 2022 02:50Bara la Afrika limevuka visa milioni 10 vilivyorekodiwa vya maambukizi ya Covid-19, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likuonya juu ya tsunami kubwa na ya haraka ya maambukizo ya corona ambayo yanachanganya mifumo ya afya kote duniani.
-
Waziri wa Afya Kenya: Hoteli na migahawa isiwapokee watu ambao hawajachanjwa
Dec 28, 2021 08:02Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya, imeagiza migahawa na hoteli kutotoa huduma kwa wateja ambao hawajachanjwa kama njia ya kukabiliana na maambukizi ya COVID-19 nchini humo hususan katika kipindi hiki cha sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
-
Safari zaidi ya 4,500 za ndege zafutwa duniani kutokana na msambao wa omicron
Dec 25, 2021 12:18Mashirika ya ndege katika maeneo mbalimbali duniani yamefuta zaidi ya safari 4,500, kutokana na msambao wa virusi vya omicron, sambamba na kuanza mapumziko ya mwaka mpya wa miladia.
-
Gordon Brown: Nchi za Afrika zisilaumiwe kwa kusambaa kirusi cha corona aina ya Omicron
Dec 25, 2021 04:31Gordon Brown, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, amesema kuzuka kwa kirusi kipya cha corona, "Omicron" sio kosa la Afrika, na amezilaumu nchi tajiri ambazo zilijilimbikizia mamia ya mamilioni ya dozi za chanjo ya corona, kwa kukataa kutoa chanjo kwa nchi maskini licha ya tahadhari iliyotolewa hapo awali kwamba kutofanya hivyo kutatatiza juhudi za kuangamiza kirusi hicho.