-
IMF: Vikwazo dhidi ya Russia yumkini vitadhoofisha dola ya US
Apr 01, 2022 03:25Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeonya kuwa, vikwazo dhidi ya Russia huenda vikadhoofisha na kuipotezea umashuhuri sarafu ya dola ya Kimarekani.
-
Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran
Mar 30, 2022 06:46Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani ni tishio kubwa kwa haki ya kupata huduma za afya, matibabu na dawa wananchi wa Iran.
-
Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama
Mar 04, 2022 02:29Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia ya muqawama amilifu ndiyo iliyoishinda na kusambaratisha sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran
Feb 20, 2022 03:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.
-
Shamkhani: Mienendo hasi ya US ndilo tishio kuu kwa mapatano yoyote yale
Feb 16, 2022 02:47Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema siri ya kufikiwa mapatano mazuri kwenye mazungumzo ya kuiondolea vikwazo haramu Jamhuri ya Kiislamu ni Tehran kupewa dhamana ya kisheria ambayo itaifanya Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.
-
Iran: Kumalizika mazungumzo ya Vienna kunategemea kuondolewa vikwazo Tehran
Feb 11, 2022 02:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muda wa kumalizika mazungumzo ya Vienna ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA unategemea irada ya Wamagharibi ambao ni upande wa pili wa mazungumzo hayo, kuiondolewa vikwazo haramu Tehran.
-
Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran
Jan 30, 2022 03:26Rais wa Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuondolewa vikwazo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Ufaransa.
-
Amir Abdollahian: Maslahi kamili ya Iran yanapasa kupatikana katika suala la kuondoa vikwazo
Jan 28, 2022 01:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa maslahi kamili ya Iran yanapasa kupatikana katika suala la kundolea vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
"Vikwazo vipya dhidi ya Iran ni muendelezo wa sera zilizofeli za Trump"
Nov 19, 2021 07:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu si kitu kingine ghairi ya muendelezo wa sera zilizogonga ukuta za Donald Trump.
-
Eritrea yalaani vikwazo 'haramu' vya Marekani dhidi yake
Nov 14, 2021 08:14Serikali ya Eritrea imekosoa vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na ghasia na mapigano yanayoshuhudiwa katika nchi jirani ya Ethiopia.