-
Iran yataka nchi za Ghuba ya Uajemi ziwe macho kuhusu vitisho vya Marekani
May 27, 2019 14:46Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Sera za Marekani za vikwazo dhidi ya Iran zimehatarisha amani na usalama katika eneo hili zima na hivyo nchi za eneo zinapaswa kuwa macho kuhusu vitisho hivyo."
-
Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge
May 04, 2019 15:01Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi za kutimuliwa utawala haramu wa Israel kutoka katika Jumuiya ya Mabunge kutokana na jinai zake unazozitenda.
-
Mfalme wa Kuwait: Nchi yangu haitosita kuchukua hatua za kuitetea Quds na Palestina
Apr 24, 2019 04:15Mfalme Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah wa Kuwait sambamba na kusisitiza kuwa nchi yake inalitambua suala la Palestina kuwa kadhia kuu ya ulimwengu wa Kiislamu, amesema kuwa Kuwait haitosita kuchukua hatua yoyote katika kuitetea Quds na matukufu yake.
-
Amir wa Kuwait: Tutafanya kila tuwezalo kuilinda na kuitetea Quds
Apr 23, 2019 07:38Amir wa Kuwait Sheikh Ahmad Al-Jaber Al-Sabah amesisitiza msimamo wa nchi yake katika kuiunga mkono na kuitetea Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa
Apr 02, 2019 13:33Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amesema kuwa, siasa za utawala haramu wa Kizayuni (Israel) zimejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ishara tosha ya ukiukaji huo wa sheria.
-
Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni
Apr 01, 2019 02:53Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.
-
Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Mar 04, 2019 08:07Spika wa Bunge la Kuwait ametoa wito wa kupigwa marufuku suala la kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel na kuzuiwa kuweko uhusiano wa kisiasa na utawala huo ghasibu unaotenda jinai kila leo dhidi ya Wapalestina.
-
Spika wa Bunge Kuwait alaani ushiriki wa nchi yake katika mkutano wa Warsaw, Poland
Feb 19, 2019 03:55Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa vikali ushiriki wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo katika mkutano wa Warsaw, Poland ambao ulihudhuriwa pia na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel.
-
Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus
Dec 29, 2018 08:08Serikali ya Kuwait imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait
Nov 12, 2018 12:39Barham Salih, Rais mpya wa Iraq jana Jumapili aliwasili nchini Kuwait ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika safari yake ya kieneo ya kuzitembelea nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.