-
'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'
Feb 26, 2021 02:50Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
-
Video ya Hizbullah iliyokashifu vituo vya kijeshi vya Israel ndani ya miji yazusha taharuki
Feb 19, 2021 02:24Kwa mara ya kwanza, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mkanda wa video unaoonyesha kambi na vituo vya kijeshi vya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndani ya miji ya ardhi hizo za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto"
Feb 17, 2021 07:53Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.
-
Lebanon katika mzingo wa hitilafu; mkwamo wa kuunda Serikali unaendelea
Feb 16, 2021 08:59Licha ya kupita miezi minne tangu Saad Hariri kupewa jukumu la kuunda serikali nchini Lebanon, lakini Waziri Mkuu huyo hadi hivi sasa ameshindwa kuunda Baraza la Mawaziri kutokana na hitilafu na mivutano mingi iliyomo nchini humo.
-
Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Feb 06, 2021 13:13Luqman Salim mwanaharakati wa kisiasa na mwandishi wa Lebanon aliuawa Alhamisi katika mji wa Nabatiyah ambao wakazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah yalaani mauaji ya mkosoaji wa harakati hiyo ya Lebanon
Feb 05, 2021 12:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya mwanaharakati wa kisiasa na mtafiti wa nchi hiyo ya Kiarabu, Lokman Slim aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha.
-
Waziri wa Uinzi wa Lebanon autaka utawala wa Kizayuni ukomeshe uchokozi dhidi ya nchi hiyo
Jan 19, 2021 08:02Waziri wa Ulinzi wa Lebanon ameutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukomeshe kila aina ya uchokozi na uvamizi unaofanya dhidi ya mipaka ya anga, bahari na nchi kavu ya nchi hiyo.
-
Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli
Jan 17, 2021 13:21Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.
-
Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN
Jan 14, 2021 12:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imewasilisha shtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo kutokana na hatua ya Israel kukiuka mara kwa mara anga ya Lebanon.
-
Nukta muhimu katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah
Jan 11, 2021 00:39Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah alihutubu Ijumaa usiku kwa njia ya moja kwa moja katika televisheni ambapo hotuba hiyo ilikuwa na nukta nne muhimu za kitaifa na kimataifa.