-
Saudia yamwita nyumbani balozi wake wa Lebanon, yamtaka wa Lebanon pia aondoke nchini humo
Oct 30, 2021 03:23Saudi Arabia imemwita nyumbani balozi wake wa Lebanon na kumtaka balozi wa nchi hiyo pia aondoke mjini Riyadh, likiwa ni jibu kwa matamshi ya ukosoaji aliyotoa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi uliofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
-
Hizbullah: Tutawaadhibu waliohusika na ghasia za umwagaji damu Beirut
Oct 24, 2021 15:14Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amemkosoa vikali Jaji Tarek Bitar anayeongoza uchunguzi wa mlipuko uliotokea mwaka jana katika Bandari ya Beirut na kusisitiza kuwa, hakimu huyo anapaswa kutimuliwa kwa kuwa anaingiza siasa kwenye kadhia hiyo.
-
Malengo na ujumbe wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 20, 2021 11:38Hotuba iliyotolewa juzi na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu matukio yaliyojiri Alkhamisi iliyopita katika eneo la al Tayune mjini Beirut imetambuliwa kuwa tofauti sana na hotuba zake za miaka ya karibuni.
-
Rais wa Lebanon amuonya kinara wa wanamgambo walilotekeleza mauaji Beirut
Oct 15, 2021 14:00Rais wa Lebanon amebainisha masikitiko yake kutokana na mapigano na ufyatulianaji risasi katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut jana huku akimuonya kiongozi wa kundi la wanagambo wa chama cha 'Vikosi vya Lebanon'.
-
Watu kadhaa wauawa, zaidi ya 60 wajeruhiwa katika mapigano ya silaha mjini Beirut, Lebanon
Oct 14, 2021 13:51Duru za habari nchini Lebanon zimeripoti kuwa mapigano makali yanendelea baina ya askari usalama na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo idadi ya waliojeruhiwa hadi sasa imepindukia watu 60.
-
Hizbullah yaikosoa Marekani kwa kuingilia uchunguzi wa mlipuko wa Bandari ya Beirut
Oct 13, 2021 12:55Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutia pua katika uchunguzi juu ya mlipuko uliotokea mwaka jana katika Bandari ya Beirut.
-
Meli za kivita za Iran zilisindikiza meli za mafuta za Iran zilizopeleka mafuta Lebanon
Oct 11, 2021 11:58Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema manowari za jeshi hilo zimekuwa zikisindikiza meli za mafuta za Iran zinazopeleka mafuta Lebanon.
-
Iran: Tutaendelea kuiunga mkono kambi ya muqawama Lebanon
Oct 10, 2021 07:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuuunga mkono mrengo wa muqawama na mapambano nchini Lebanon, mkabala wa vitisho na chokochoko tarajiwa za utawala wa Kizayuni.
-
Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Oct 08, 2021 00:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia taifa la Lebanon linalokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi uliotokana na vikwazo.
-
Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon
Oct 05, 2021 02:22Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.