-
ICC: Tuna ushahidi wa kutosha wa kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria
Dec 12, 2020 03:28Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, amesema kuwa, ana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria kuhusu mateso na ukandamizaji waliofanyiwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Buhari ataka kukomeshwa maandamano, machafuko yaendelea Abuja
Oct 23, 2020 10:28Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kukomesha machafuko na maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kufuatia mauaji ya raia waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili wa polisi.
-
Watu 10 wauawa katika machafuko ya baada ya uchaguzi Guinea
Oct 22, 2020 03:44Kwa akali watu 10 wameuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, huku taifa hilo likiendelea kusubiri kwa hamu na shauku kuu matokea ya uchaguzi huo wa Oktoba 18.
-
Ripoti za jaribio la mapinduzi Mali, milio ya risasi yasikika Bamako, na mawaziri watiwa nguvuni
Aug 18, 2020 13:38Jeshi la Mali limeweka vizuizi katika kambi moja iliyopo katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako huku raia wa eneo hilo wakisema kuwa milio ya risasi inaendelea kusikika katika eneo hilo.
-
Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila
Aug 10, 2020 09:50Gavana wa jimbo la Bahrul Ahmar nchini Sudan amepiga marufuku watu kutembea katika baadhi ya mji wa Port Sudan ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Sudan kutokana na ghasia zilizotokana na hitilafu za kikabila ambazo zimesababisha mauaji ya watu kadhaa na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Ghasia zashtadi India, waliouawa New Delhi wafika 24
Feb 27, 2020 02:25Idadi ya waliouawa katika ghasia zilizosababishwa na sheria tatu yenye kuwabagua Waislamu katika mji mkuu wa India, New Delhi imeongezeka na kufikia watu 24.
-
Iran: Miungano ya Marekani inasababisha machafuko kote ulimwenguni
Nov 09, 2019 13:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miungano mbalimbali inayoundwa na Marekani inasababisha machafuko katika kona zote za dunia na kuhatarisha usalama na amani ya kila eneo lenye miungano hiyo.
-
Waislamu Ujerumani wazidi kuandamwa na vitendo vya chuki na ubaguzi
Nov 03, 2019 02:32Mmoja wa viongozi wa Kiislamu nchini Ujerumani amesema kuwa, Waislamu wa nchi hiyo ya bara Ulaya wanazidi kuandamwa na mashambulio ambayo chimbuko lake ni vitendo vya ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Madaktari wasio na mipaka (MSF) wakabiliana na ukosefu wa usalama huko Niger
Aug 11, 2019 03:52Wafanyakazi wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) nchini Niger wamelazimika kuondoka kusini mashariki mwa nchi hiyo kutokana na ukosefu wa usalama.
-
Jeshi la Ethiopia kulinda usalama katika mkoa wa Kusini ulioathiriwa na machafuko
Jul 24, 2019 03:55Ethiopia imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi na askari usalama wa nchi hiyo ndio watasimamia ulinzi na usalama katika mkoa wa kusini ulioathiriwa na machafuko nchini humo. Machafuko hayo yemeendelea kwa siku kadhaa na kusababisha watu 18 kupoteza maisha.