-
Putin atia saini amri ya kuiwekea vikwazo vya ulipizaji kisasi kambi ya Magharibi
May 05, 2022 02:15Ikulu ya Kremlin imetangaza Jumanne kuwa, Rais Vladimir Putin wa Russia ametia saini amri ya kukabiliana na 'hatua zisizo za kirafiki za baadhi ya nchi za kigeni na mashirika ya kimataifa." Dikrii hiyo inasisitiza hatua za kulipiza kisasi dhidi ya nchi ambazo zimetajwa kuwa 'zisizo za kirafiki'. Kwa mujibu wa amri hiyo Russia itaziwekea vikwazo baadhi ya nchi na taasisi za kimataifa.
-
Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine
Apr 21, 2022 09:11Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu amesema kwamba Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimefanya jitihada kubwa za kurefusha muda wa operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu
Apr 02, 2022 08:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.
-
Mbunge wa EU: Saudia inafanya jinai huku Wamagharibi wakiiba mafuta, gesi Yemen
Apr 02, 2022 02:33Mjumbe wa Bunge la Umoja wa Ulaya amesema katika hali ambayo muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unaendelea kufanya kila aina ya jinai nchini Yemen tokea mwaka 2018 kwa upande mmoja, nchi za Magharibi kwa upande mwingine zinapora na kuiba rasilimali za nchi hiyo maskini, yakiwemo mafuta na gesi.
-
Lavrov awashutumu Wamagharibi kwa kutoshughuliswa na wananchi wa Ukraine
Mar 24, 2022 03:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amezishutumu Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutoshughulishwa na wananchi wa Ukraine na wala mambo yaliyopelekea kutokea vita nchini humo.
-
Bin Salman atumia mafuta kuishinikiza Magharibi iiruhusu Saudia iendelee kunyonga watu
Mar 20, 2022 02:49Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia anazinishiniza nchi za Magharibi zikubali Saudia iendelee kunyonga watu na kufanya inavyotaka mkabala wa mafuta ya petroli.
-
Bashar al-Assad: Magharibi imegeuza dunia kuwa msitu
Mar 18, 2022 14:58Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa sera za nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake na kusema: "Magharibi imeigeuza dunia kuwa msitu."
-
Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia
Feb 25, 2022 13:33Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.
-
Vikwazo vya kimaonyesho vya Magharibi dhidi ya Russia kwa kisingizio cha mgogoro wa Ukraine
Feb 24, 2022 02:52Tangazo la Russia la kutambua rasmi uhuru wa Jamhuri za watu wa Donetsk na Luhansk huko mashariki mwa Ukraine limeibua hisia kali za nchi za Magharibi.
-
Mahakama ya Iran yakosoa sera za kupenda vita za Wamagharibi
Jan 06, 2022 02:50Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa vikali sera za kupenda na kuchochea vita za nchi za Magharibi, huku akizilaani nchi hizo kwa madai yao bandia kuhusu suala la haki za binadamu.