-
Guterres: Magufuli atakumbukwa kwa kurejesha maadili ya utumishi wa umma, kupambana na rushwa
Apr 17, 2021 07:57Baadhi ya viongozi walioshiriki katika kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa (UN) uliofanyika jana Ijumaa mjini New York wamebainisha alama za uongozi za rais wa awamu ya tano wa Tanzania, John Magufuli wakishauri kuendelezwa mema aliyoyatenda na kuahidi kushirikiana na Rais wa sasa wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan.
-
Wazanzibar wajitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa hayati Magufuli katika Uwanja wa Amaan
Mar 23, 2021 14:40Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne ameongoza viongozi mbalimbali na Wazanzibari kwa ujumla katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt John Pombe Magufuli, ambaye alifariki dunia Machi 17 jijini Dar es Salaam.
-
Viongozi wa Afrika wamlilia hayati Magufuli Dodoma; Kenyatta asimamisha hotuba kwa kusikia adhana
Mar 22, 2021 12:32Viongozi na marais kutoka nchi 17 duniani hususan za Afrika wamehudhuria shughuli ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli iliyofanyika leo Jumatatu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aendelea kupongezwa kimataifa baada ya ushindi katika uchaguzi
Nov 01, 2020 03:27Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania anaendelea kupongezwa kimataifa kutokana na ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
-
Lissu awasili Tanzania, apokewa na wafuasi na viongozi wa Chadema
Jul 27, 2020 13:05Mwanasheria na mwanasiasa mashuhuri wa kambi ya upinzani nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amewasili nchini humo baada ya kuwa nje ya nchi kwa matibabu kwa zaidi ya miaka miwili, baada ya kunusurika kifo kwa shambulio la risasi akiwa Dodoma.
-
Magufuli: Wapinzani watulie la sivyo wataishia gerezani
Nov 27, 2018 15:10Rais John Magufuli wa Tanzania amempa ujumbe Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo Edward Lowasa awaambie viongozi wengine wa vyama vya upinzani kwamba watulie “la sivyo wataishia magerezani”.
-
Magufuli awajibu maaskofu, awataka wahubiri viwanda na si mambo mengine
Mar 26, 2018 15:11Rais John Magufuli wa Tanzania amejibu mapigo ya maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) akiwataka viongozi hao wahubiri kuhusu ujenzi wa viwanda vya dawa nchini humo ili Tanzania isinunue dawa nje ya nchi, badala ya kuhubiri mambo mengine.
-
Lowassa ampongeza Rais Magufuli wa Tanzania, asema amefanya kazi nzuri
Jan 09, 2018 15:50Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Rais wa Tanzania asitisha zoezi la bomoa bomoa ya nyumba zaidi ya elfu 17
Aug 30, 2017 18:21Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amesitisha zoezi la bomoa bomoa ya nyumba zaidi ya elfu kumi na saba (17, 000) zilizotangazwa kubomolewa na Baraza la Hifadhi ya Mazingira (NEMC).
-
Rais Magufuli: Kenya, mshirika nambari moja wa Tanzania kibiashara barani Afrika
Oct 31, 2016 15:13Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amekanusha madai kuwa serikali yake inazipuuza nchi jirani na kujikita zaidi katika masuala ya ndani.