• Waziri Mkuu wa Tanzania awataka mawaziri kuhamia Dodoma

  Waziri Mkuu wa Tanzania awataka mawaziri kuhamia Dodoma

  Jul 25, 2016 14:03

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa agizo kwa mawaziri na manaibu wote wahame mara moja kutoka Dar es Salaam na kuelekea Dodoma ambako kimsingi ndio makao makuu ya serikali.

 • Katibu Mkuu mstaafu wa EAC ataka wananchi wamuunge mkono Magufuli

  Katibu Mkuu mstaafu wa EAC ataka wananchi wamuunge mkono Magufuli

  Mar 05, 2016 07:36

  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake, Dk Richard Sezibera amewataka wananchi kuunga mkono jitihada za kupambana na rushwa zinazofanywa na viongozi wa jumuiya hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake wa sasa, Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 • Rais wa Tanzania atimiza siku 100 akiwa madarakani (Sauti)

  Rais wa Tanzania atimiza siku 100 akiwa madarakani (Sauti)

  Feb 11, 2016 18:23

  Wakati siku mia moja za rais mpya wa Tanzania DK, John Pombe Magufuli madarakani zikitimia,Watanzania wamemtaka rais huyo kuongeza kasi ya kuwabana mafisadi wanaohujumu uchumi wa nchi hiyo bila kuwaonea huruma.