-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo
Nov 26, 2021 10:35Mwanachama wa Kamisheni ya Usalama wa Kitaifa na Siasa za kigeni ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema ombi la nchi za Kiarabu la kutaka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, ni alama ya kushindwa siasa za kuvuruga usalama na kutaka kubadilisha muundo wa siasa nchini Syria.
-
Bunge la Iran laanza kuchunguza sifa za mawaziri waliopendekezwa na Rais Raisi
Aug 14, 2021 08:08Msemaji wa kamati ya uongozi ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, bunge hilo linaanza mchakato wa kuchunguza sifa za mawaziri wa serikali mpya waliopendekezwa na Rais Ebrahim Raisi.
-
Bunge la Iran: Lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na hazikubaliki
Dec 14, 2020 02:56Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki ujirani mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
-
Mbunge: Baadhi ya wakaguzi wa IAEA nchini Iran walikuwa wakiifanyia ujasusi CIA
Dec 02, 2020 02:31Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Iran amesema idadi kubwa ya wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA waliokuwako hapa nchini walikuwa majasusi na walilipatia Shirika la Ujasusi la Marekani CIA taarifa za wanasayansi wa Iran.
-
Shirika la Atomiki la Iran latakiwa kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20
Dec 01, 2020 12:53Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimi 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
-
Ghalibaf: Vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi huru, ni siasa zilizofeli
Nov 24, 2020 02:24Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi huru duniani ni siasa zilizofeli na kuongeza kuwa, vikwazo hivyo vimeimarisha misingi ya uchumi wa kutengemea uwezo wa ndani, nchini Iran.
-
Ghalibaf: Kasi ya kuporomoka Marekani imeongezeka
Nov 15, 2020 08:12Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matukio yaliyoambatana na uchaguzi wa Marekani yamezidi kuporomosha itibari ya nchi hiyo na kuongeza kasi ya kuporomoka mfumo wa kibeberu wa Marekani.
-
Madai ya Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran; hayana uhalali wowote wa kisheria
Sep 29, 2020 12:19Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeyataja madai yasiyo na msingi ya nchi za Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria.
-
Wananchi wa Iran washiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Bunge
Sep 11, 2020 07:08Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Kiongozi Muadhamu: Pamoja na kuwepo vikwazo, maadui hawajaweza kufikia malengo yao dhidi ya Iran
Jul 12, 2020 12:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema adui amepoteza matumaini kutokana na namna taifa la Iran linavyokabiliana na kila harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu.