-
Marekani na NATO zafanya mazoezi ya kijeshi karibu na mipaka ya Russia
May 17, 2022 03:04Mazoezi ya kijeshi ya pamoja baina ya Marekani na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO yanaendelea hivi sasa katika ardhi ya Estonia, karibu na kambi za kijeshi za Russia.
-
Asilimia 75 ya Wamarekani wanaona nchi yao inaenda upande sio; Ukraine imechangia
May 16, 2022 10:45Uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni unaonesha kuwa, umaarufu wa rais wa Marekani, Joe Biden umeporomoka tena, huku asilimia 75 ya Wamarekani wakiamini kuwa nchi yao inaendeshwa ovyo.
-
Iran yalaani ukiukwaji mpya wa haki za binadamu uliogundulika Marekani
May 15, 2022 11:01Kazem Gharibabadi, Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa taarifa baada ya uchunguzi kubaini vifo vya zaidi ya watoto 500 wa jamii za asili za Marekani katika shule za bweni za kanisa, zilizofadhiliwa na serikali na kusema: "Pamoja na kuwepo ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu huko Marekani nchi hiyo inajipa jukumu la kuwapa wengine nasaha kuhusu haki za binadamu."
-
Moscow yasisitiza: Marekani inashiriki moja kwa moja katika vita vya Ukraine
May 09, 2022 02:27Vyacheslav Volodin, mkuu wa Duma ya Russia, ameandika kwenye mtandao wa Telegram kwamba Merekani inashiriki moja kwa moja katika operesheni za kijeshi za Ukraine.
-
Seneta Rand Paul: Marekani ni kinara wa kusambaza habari za uongo duniani
May 06, 2022 12:31Seneta wa chama cha Republican, Rand Paul amesema serikali ya Marekani ndiyo kinara wa kueneza habari za uongo katika historia ya dunia.
-
Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia
May 06, 2022 02:37Licha ya vitisho vya Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia katika fremu ya kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya nchi hiyo, lakini jambo hilo linaonekana kukabiliwa na upinzani mkali barani humo na hata baadhi ya viongozi wa Marekani kutoa onyo dhidi ya hatua hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani apata corona
May 05, 2022 06:47Matokeo ya vipimo vya corona yanaonyesha kuwa Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameambukizwa maradhi ya Covid-19.
-
Ufyatuaji risasi mjini Chicago wapelekea watu 8 kuawa na wengine 16 kujeruhiwa
May 02, 2022 06:00Ikiwa ni katika mwendelezo wa vuruga na ufyatuaji risasi wa kiholela nchini Marekani, matukio kadhaa ya ufyatuaji risasi yameripotiwa mwishoni mwa wiki mjini Chicago ambapo watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine kumi na sita kujeruhiwa.
-
Nation of Islam: AU ikate uhisiano na utawala wa Kibaguzi wa Israel
Apr 30, 2022 08:19Mwakilishi wa kimataifa wa harakati ya Umma wa Kiislamu nchini Marekani amesema kuwa, Umoja wa Afrika unapaswa kuwaondoa mabalozi wake wote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021 licha ya kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu
Apr 27, 2022 03:49Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021, mwaka huo huo ambao ulishuhudia ongezeko kubwa la visa vya ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.