Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Habari
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Portuguese Português
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Iran
  • Mashariki ya Kati
  • Afrika
  • Picha
  • Iran na Afrika
  • Products

mashambulizi ya anga

  • Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria

    Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria

    Nov 14, 2021 11:12

    Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).

  • Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen

    Muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia waendeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen

    Jul 16, 2021 08:11

    Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala vamizi wa Saudi Arabia umeendelea kuyashambulia maenro mbalimbali ya Yemen.

  • Mashambulizi ya anga ya Israel yaua shahidi makumi ya Wapalestina Gaza

    Mashambulizi ya anga ya Israel yaua shahidi makumi ya Wapalestina Gaza

    Nov 14, 2019 02:43

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumanne na kwa siku ya pili mfufulizo zilitekeleza mashambulizi ya anga zaidi ya 50 katika Ukanda wa Gaza, na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.

  • Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza

    Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza

    Nov 02, 2019 12:25

    Mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel yamepelekea kuuawa shahidi raia mmoja wa Palestina na kujeruhiwa wengine wawili.

  • Uvamizi wa kijeshi wa Saudia dhidi ya Yemen umeua 100,000 tangu 2015

    Uvamizi wa kijeshi wa Saudia dhidi ya Yemen umeua 100,000 tangu 2015

    Nov 01, 2019 01:19

    Ripoti ya asasi moja isiyo ya kiserikali imesema watu zaidi ya 100,000 wameuawa nchini Yemen katika vita na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake tokea mwaka 2015 hadi sasa.

  • UNICEF: Watoto milioni 2 wamekatiziwa masomo Yemen kutokana na vita

    UNICEF: Watoto milioni 2 wamekatiziwa masomo Yemen kutokana na vita

    Sep 26, 2019 04:13

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto zaidi ya milioni mbili nchini Yemen wameshindwa kuendelea na masomo yao kutokana na vita vinavyoshuhudiwa nchini humo.

  • Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Sep 12, 2019 10:25

    Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.

  • Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Jul 20, 2019 07:24

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa limeua magaidi 20 katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • 40 wauawa, 80 wajeruhiwa katika shambulizi la anga dhidi ya kituo cha wahajiri Libya

    40 wauawa, 80 wajeruhiwa katika shambulizi la anga dhidi ya kituo cha wahajiri Libya

    Jul 03, 2019 02:49

    Watu wasiopungua 40 wameuawa huku wengine zaidi ya 80 wakijeruhiwa katika shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Nov 21, 2018 07:46

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) zimedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 37 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 20167 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Iran
    Mashariki ya Kati
    Afrika
    Picha
    Iran na Afrika
    Products
Radio
    Vipindi
    Hifadhi
    Darsa ya Qur'ani
    Frikwensi
    Tovuti Kongwe
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS