-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wazungumzia jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 08, 2022 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo na mwenzake wa Qatar na kusema: "Harakati za Mapambano (muqawama) zina mpango kamili wa kutoa jibu kali na lenye taathira kwa jinai za utawala wa Kizayuni."
-
Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini
Aug 05, 2022 12:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.
-
Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni
Aug 05, 2022 02:56Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
-
"Kambi ya muqawama iungane ili iweze kuwafukuza askari wa US katika eneo"
Jul 21, 2022 12:09Afisa wa ngazi ya juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za kimuqawama zinapaswa kuendelea kushirikiana na kuimarisha uhusiano wao ili zifanikiwe kuwatimua wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Syria na katika eneo lote la Asia Magharibi.
-
Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria
Jul 21, 2022 07:34Rais Ebrahim Raeisi wa Iran amesema ana yakini kuwa Syria ina mustakakbali mwema huku akiwapongeza wananchi wa Syria kwa mapambano na muqawama katika kipindi cha miaka 11 ya vita dhidi ya nchi hiyo ambavyo vinaungwa mkono na madola ya kigeni.
-
Makundi ya muqawama Palestina yamkosoa Abbas kukutana na Gantz
Jul 09, 2022 07:35Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amekosolewa vikali na makundi ya muqawama ya Palestina, kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benny Gantz.
-
Rais Maduro: Sisi ni sehemu ya Mrengo wa Muqawama
Jun 21, 2022 07:46Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema Mrengo wa Muqawama haujajibana kwa nchi fulani tu duniani, lakini unawahusu watu wote wanaopambana na ukoloni na madola ya kibeberu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani
Jun 12, 2022 09:03Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.
-
Wanamuqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio makombora yao
Jun 12, 2022 07:53Duru za kiusalama huko Palestina zimedokeza kuwa, vikosi vya muqawama vya nchi hiyo vimefanyia majaribio makombora yao katika fukwe za Ukanda wa Gaza.
-
Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani
May 27, 2022 11:10Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 22 ya ushindi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi Wazayuni na kusema, Wazayuni walionja ladha chungu ya kwanza ya kushindwa baada ya kuondoka kwa madhila huko kusini mwa Lebanon.