-
"Putin" na sera ya ubeberu ya shirika la NATO
Jul 01, 2022 08:45Rais wa Russia, Vladimir Putin, amelaani "sera za kupenda makuu" za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), ambalo anaamini linalenga kuimarisha "ubeberu" wake kupitia vita vya Ukraine.
-
China yajibu mapigo kwa hati ya mkakati mpya wa NATO dhidi yake
Jul 01, 2022 08:03China imekosoa hati ya mkakati na stratejia mpya ya Muungano wa Kijeshi wa NATO na kueleza kwamba muungano huo ni changamoto ya kimfumo kwa usalama na uthabiti wa dunia.
-
Uturuki yaafiki Sweden na Finland zijiunge na NATO na uwezekano wa vita vya dunia
Jul 01, 2022 01:02Hatimaye, baada ya mazungumzo mengi, kumetiwa saini mapatano ya pande tatu baina ya Ankara, Stockholm na Helsinki kuhusu Finland na Sweden kujiounga na NATO. Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amethiitisha kuwa Uturuki imeafiki Sweden na Norway zijiunge na NATO.
-
Mfalme wa Jordan ataka kuundwa 'NATO ya Asia Magharibi'
Jun 26, 2022 02:21Mfalme wa Jordan amesema anaunga mkono wazo la kuundwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Asia Magharibi, utakaoshabihiana na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO).
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa NATO kuhusu kujiandaa Magharibi kwa vita vya muda mrefu Ukraine
Jun 05, 2022 02:38Katibu Mkuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, Jens Stoltenberg, baada ya kuonana na rais wa Marekani, Joe Biden ili kujua msimamo wa Washington kuhusu vita vya Ukraine amedai kwamba nchi za Magharibi zinapaswa kujiandaa kwa vita vya muda mrefu huko Ukraine.
-
Russia: Shirika "lililokufa ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya
May 20, 2022 08:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amegusia hatua ya shirika la kijeshi la NATO ya kutaka kuzipatia Finland na Sweden uanachama wa shirika hilo na akasema, shirika ambalo limekumbwa na "kifo cha ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya.
-
Njama za Magharibi za kuanzisha NATO ya dunia nzima
May 18, 2022 09:28Katika hali ambayo suala la uwanachama wa nchi mbalimbali hasa Ukraine katika Jeshi la Nchi za Magharibi NATO limeitumbukiza dunia kwenye mgogoro wa kimataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameona kama hiyo haitoshi na hivi sasa amezungumzia wajibu wa kuweko mkataba wa NATO ya dunia nzima.
-
Moscow yasisitiza: Marekani inashiriki moja kwa moja katika vita vya Ukraine
May 09, 2022 02:27Vyacheslav Volodin, mkuu wa Duma ya Russia, ameandika kwenye mtandao wa Telegram kwamba Merekani inashiriki moja kwa moja katika operesheni za kijeshi za Ukraine.
-
Russia yatahadharisha juu ya uwezekano wa kupigana na Nato
Apr 18, 2022 02:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha juu ya uwezekano wa kujiri mapigano ya muda mrefu baina ya nchi hiyo na Shirika Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika katika eneo la Ncha ya Kaskazini.
-
Russia yaonya itaweka silaha za nyuklia Baltic iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO
Apr 17, 2022 02:20Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia ameonya kuwa, iwapo Finland na Sweden zitajiunga na muungano wa kijeshi wa NATO, basi Russia itazitambua nchi hizo mbili kuwa maadui.