-
AU yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua watu 69 Niger
Nov 06, 2021 03:24Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu huko kusini magharibi mwa Niger.
-
Watu wapatao 70 wauawa katika shambulio dhidi ya kijiji kusini magharibi mwa Niger
Nov 05, 2021 03:08Serikali ya Niger imethibitisha kuwa watu wasiopungua 69, akiwemo meya wa mji, wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 10 wauawa msikitini katika hujuma ya kigaidi Niger
Oct 14, 2021 06:04Taarifa zinasema kuwa watu 10 wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
-
Amnesty International: Watoto wengi wanauawa au kusajiliwa na makundi ya kitakfiri
Sep 14, 2021 01:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, watoto wengi wamekuwa wakisajiliwa na kutumiwa kama askari vitani na makundi ya kitakfiri au kuuawa na makundi hayo katika maeneo ya mpaka wa Burkina Faso, Niger na Mali
-
Kipindupindu chaua zaidi ya watu 100 katika maeneo ya mpaka wa pamoja wa Niger na Nigeria
Sep 04, 2021 06:47Wizara ya Afya ya Niger imetangaza kuwa, watu zaidi ya 100 wameaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu ulioyakumba maeneo ya karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Nigeria.
-
Niger: Wanajeshi 16 wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram
Aug 26, 2021 08:04Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 16 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Makumi ya watu wauawa katika hujuma ya silaha magharibi mwa Niger
Aug 17, 2021 15:51Kundi moja la watu wasiojulikana limeua karibu raia 40 huko magharini mwa nchi ya Niger.
-
Watu 19 wauawa katika shambulizi jipya la wabeba silaha Niger
Jul 30, 2021 12:39Raia 19 wameuawa kwenye shambulizi linaloaminika kuwa la kigaidi katika mpaka wa Niger na Mali.
-
Watu 14 wauawa katika shambulio la kundi la wabeba silaha magharibi ya Niger
Jul 27, 2021 14:53Serikali ya Niger imetangaza kuwa raia 14 wameuliwa katika shambulio lililofanywa na kundi la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 19 wauawa katika shambulio la wabeba silaha nchini Niger
Apr 19, 2021 07:46Kwa akali watu 19 wanaripotiwa kuuawa katika shambulio la wabeba silaha huko magharibi mwa Niger,mpakani mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na Mali.