-
Askari wa Nigeria washambulia Waislamu waliokuwa kwenye maombolezo ya Ashura
Aug 09, 2022 03:16Askari wa serikai ya Nigeria wameshambulia kumbukuku za maomboleza ya Ashura ya Imam Husain AS katika mji wa Zaria na kuua shahidi na kujeruhi Waislamu kadhaa.
-
Waislamu Iran, Nigeria waungana na wenzao kote duniani katika maombolezo ya Ashura
Aug 08, 2022 07:33Wananchi Waislamu hapa Iran na Nigeria jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS.
-
Makumi ya magaidi wauawa katika mji mkuu wa Nigeria
Jul 30, 2022 03:41Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi lililowashambulia askari wa Brigedi ya Gadi ya Rais na kuua wanane miongoni mwao mapema mwezi huu katika eneo la Bwari, mjini Abuja.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 46 wa ISWAP jimboni Borno
Jul 18, 2022 07:38Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza wanachama 46 wa kundi la kigadi la ISIS Wilaya ya Afrika Magharibi (ISWAP) kaskazini mwa nchi.
-
AU yatuma askari polisi wapya 160 wa Nigeria huko nchini Somalia
Jul 16, 2022 02:46Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimepokea askari polisi 160 kutoka Nigeria, watakaikisaidia katika jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kasisi akamatwa Nigeria kwa 'kuwashika mateka' kanisani watu 77
Jul 03, 2022 07:49Watu karibu 80 waliokuwa wameshikwa mateka na kasisi mmoja ndani ya kanisa huko nchini Nigeria, wameokolewa katika operesheni ya maafisa usalama.
-
Jeshi la Nigeria laua wabeba silaha 82 jimboni Zamfara
Jul 02, 2022 02:23Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya wanachama wa genge moja la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Hatima ya Sheria za Kiislamu Nigeria kujulikana kabla ya Oktoba
Jun 24, 2022 01:17Mahakama moja nchini Nigeria jana Alkhamisi iliakhirisha uamuzi wake kuhusu shauri lililowasilishwa mbele yake likipinga utekelezwaji wa Sheria za Kiislamu (Sheria) katika jimbo la Kano la kaskazini mwa nchi.
-
UN: Usipopatikana msaada wa haraka hali ya kibinadamu itakuwa mbaya zaidi Nigeria
Jun 22, 2022 07:57Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Matthias Schmale amesema zaidi ya watu milioni 4.1 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wanahitaji msaada wa haraka wa chakula katika msimu wa mwambo utakao anza hivi karibuni.
-
Magaidi Nigeria wawaachia huru watu 11 waliowateka katika shambulio dhidi ya treni
Jun 12, 2022 07:55Abiria 11 kati ya 61 waliotekwa nyara na genge la wabeba silaha katika shambulizi la kigaidi lililolenga treni ya abiria jimboni Kaduna, Kaskazini Magharibi mwa Nigeria wameachiwa huru.