-
Oman yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran
Nov 30, 2020 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran baada ya kuuawa kigaidi, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran, shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Mufti wa Oman: Waislamu waondoe mitaji yao katika sekta za uchumi za Ufaransa
Oct 27, 2020 07:25Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amewatolea mwito Waislamu wa kuondoa mitaji yao waliyowekeza kwenye vituo na sekta za uchumi za Ufaransa.
-
Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu walaani makubaliano kati ya Sudan na Israel
Oct 24, 2020 07:45Nchi za ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu pamoja na makundi ya muqawama yamelaani vikali hatua ya kufikiwa makubaliano kati ya Sudan na Israel ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yao. Wananchi wa Palestina wamekitaja kitendo hicho cha kisaliti kama 'dhambi ya kisiasa.'
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibi mwa Asia
Feb 16, 2020 16:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa, Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibii mwa Asia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mfalme mpya wa Oman
Jan 12, 2020 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea nchini Oman kuiwakilisha serikali ya Iran katika shughuli ya kumuenzi na kumkumbuka aliyekuwa mfalme wa nchi hiyo aliyefariki dunia Sultan Qaboos bin Said Al Said, amekutana na kufanya mazungumzo na mfalme mpya, Sultan Haitham bin Tariq Al Said.
-
Haitham bin Tariq Aal Said, ateuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman
Jan 11, 2020 08:06Bw. Haitham bin Tariq Aal Said ameteuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman baada ya kutangazwa habari ya kufariki dunia Sultan Qaboos wa nchi hiyo usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
-
Sultan Qaboos wa Oman ameaga dunia, siku tatu za maombolezo ya kitaifa zatangazwa
Jan 11, 2020 04:51Sultan Qaboos bin Said wa Oman ameanga dunia mapema leo Jumamosi akiwa na umri wa miaka 79
-
Bin Alawi: Iran na Oman zinachukua hatua kwa ajili ya usalama wa eneo
Jan 07, 2020 12:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua hatua kwa ajili ya kudhamini usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi na Oman pia inashirikiana na Tehran katika uwanja huo.
-
Oman yajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya Sultan Qaboos kuzidi kuwa mbaya
Dec 26, 2019 07:32Ripoti za karibuni za vyombo vya habari zimeeleza kwamba, Oman inajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya kiongozi wa nchi hiyo Sultan Qaboos bin Said Al Said anayeugua saratani ya utumbo kuzidi kuwa mbaya.
-
Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat
Dec 25, 2019 02:55Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.