-
AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Aug 08, 2022 07:28Umoja wa Afrika (AU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Aug 08, 2022 07:24Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.
-
Ushujaa wa vijana wa Palestina, Yemen ni matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 08, 2022 03:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, amesema ushujaa wa vijana wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano na Wazayuni ndio sababu ya kushadidi jinai dhidi ya Wapalestina
Aug 07, 2022 02:59Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio unaohamasisha utawala huo dhalimu kushadidisha jinai zake dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno
Aug 06, 2022 11:00Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina
Aug 06, 2022 07:35Wizara za Mambo ya Nje za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwaua wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni
Aug 05, 2022 02:56Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
-
Spika wa Bunge la Iran: Jihadi na mapambano ndiyo njia pekee ya ushindi
Aug 04, 2022 07:13Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameonana na Katibu Mkuu wa Jihadul Islami ya Palestina na kusisitiza kuwa, njia pekaa ya ushindi ni jihadi na mapambano.
-
Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12
Aug 04, 2022 02:34Jeshi la utawala haramu wa Israel limewatia nguvu Wapalestina 12 sambamba na kundi la walowezi wa Kizayuni kuuhujumu msikiti mtukufu wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka
Jul 31, 2022 11:40Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS zimetoa taswira, sambamba na kuwahutubu Wazayuni kwamba: viongozi wa utawala wa Kizayuni wanakuambieni uongo kuhusu mateka.