-
Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 12, 2020 11:36Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.
-
Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa
Nov 16, 2020 02:33Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.
-
Kuuzuliwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani; pigo jingine kwa serikali inayotetereka ya Trump
Nov 11, 2020 02:37Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo akitokea nje ya mzunguko wa kisiasa, katika uga wa timu yake ya uongozi pia amekuwa na utendaji wa ajabu na ambao haujazoeleka.
-
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Nov 07, 2020 11:47Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.
-
Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano
Nov 05, 2020 11:46Rais John Pombe Magufuli ameapishwa leo Alkhamisi kuhudumu muhula wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%
Nov 03, 2020 07:13Tume ya Uchaguzi ya Ivory Casot imemtangaza Rais wa sasa wa nchi hiyo, Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi
Oct 31, 2020 02:38Kushtadi vitendo vya chuki na hujuma dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa vinavyokwenda sambamba na uungaji mkono wa Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa kisingizio kutetea uhuru wa kusema na kujieleza kumekabiliwa na radiamali mbalimbali na kuifanya nchi hiyo kubwa ya Ulaya ikabiiwe na wimbi kubwa la hasira.
-
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi urais wa visiwa vya Zanzibar, Magufuli aongoza katika uchaguzi wa rais wa Tanzania
Oct 29, 2020 22:55Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr. Hussein Mwinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kupata ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 96,103 sawa na asilimia 19.87.
-
Kiongozi wa upinzani Ushelisheli ashinda urais baada ya kujaribu mara 6
Oct 26, 2020 11:50Mgombea wa upinzani katika uchaguzi wa rais huko katika kisiwa cha Ushelisheli ameibuka mshindi baada ya kupata asilimia 54.9 ya kura zilizopigwa.
-
Mpwa wa Rais wa Tanzania atishia 'kummaliza' Tundu Lissu kwa sindano ya sumu
Oct 18, 2020 14:13Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania ametishia kumuua kwa kumdunga sindano ya sumu, mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kwa kile alichosema kuendelea 'kuwajaza upepo' wafuasi wake ili waandamane.